Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

NIMEIMISS ANFIELD

Najua ugumu tunaopitia kwa sasa, Corona imetukamata haswa. Lakini kiukweli naimiss Liverpool, namiss mikimbio ya Salah, Magoli ya Mane na pressing ya Bobby Firmino.

Zile assist za Anord Trent na Robo nimezimiss haswa, akili za Virgil Van Djik na utumwa wa Joe Gomez pia nimeukumbuka sana. Hakika nimemiss Uwezo wa kuanzisha mashambulizi alionao Allison Becker katika lango la timu yetu.

Nimemiss kumuona Jordan Henderson akiongoza Jeshi la wanaume pale Anfield. Hakuna mwana-LFC ambaye hajamiss kumuona Klopp akipiga zile ngumi za kifua timu inapokua imeshinda. Nimemiss akili ya Pepjn Ljinders anapoutazama mpira nyuma ya Klopp kisha anaenda kumnong'oneza jambo.

Yale Magoli ya Divork Onyango Origi katika dakika za usiku je? Huwa yanawakera sana wapinzani. Ni kama ambavyo nimemiss ubavu wa Gini Wijnaldum. Ule mgoli wa Fabinho dhidi ya Man City bado naukumbuka mwanawane.

Mzungu Kichaa, Mzungu Chuma James Milner..huongeza kitu pindi anapotokea benchi..mishuti ya Oxlade nimeikumbuka sana. Aah wallah sijamiss kuona zile mistake za Adrian..

At the end of the storm there is a gokden sky, Walk On Walk On

Yaa Allah tupe dawa kipindi hiki kigumu,dunia inapandisha mlima mkali sana kipindi hiki,yarab ww ndo muweza wa yote tunusuru waja wako inshallah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amin mkuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daaah ina maana nyie bado ni mabingwa watetezi eeeh maana uefa imefutwa
 
Corner taken quickly origiiii....
IMG_20200418_164027.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom