Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahah
kuna group moja wanasema FA ifute ligi ianze upya ukiwauliza na uefa je ifutwe?
wanakuambia mlishatolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Double standard....

EPL itamalizika vinginevyo timu nyingi zinafilisika Kwa kuwa wadhamini wengi wanaomba refund ya pesa zao walizotoa msimu huu na hakuna timu ipo tayari kurejesha hizo pesa na ibakie salama....

Muda utasema...

Kwa sasa mpira is the least important issue cha muhimu ni afya ya wachezaji wetu wote wawe wazima ili siku EPL ikirejea wawe tayari Kwa mapambano kutuletea 19th trophy...

YNWA
 
Nimepata habari Mane hana furaha ndani ya klabu kwa sababu klopp alimpigia kura VVD kwenye tuzo ya Ballon d'Or wakati yeye alikua na msimu mzuri kuliko vvd.

Sio official kutoka kwa Mane Ila inasemekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Read Madrid tabloids at work...

Tutasikia mengi..

Hizo kura mbona huwa hazifichwi...

Real main target ni Mane wameshaona Mbappe watakwama hivyo tutegemee fitina nyingi kwenye media kuhusu Mane mpaka wampate.....

YNWA
 
In the mean time behind the scenes....

Timo Werner loading 💪💪💪💪😍😍we pay £52m by June 1 his release clause and get our boy...he is already learning English..

Wilian from Chelsea loading 👏👏👏👏joining on a free transfer..... At 31 yrs still has some great left to offer....

Yajayo yanafurahisha

What a joy

Sources please so that I can cement my happiness ,
I was waiting for that moment that German lad at Anfield
 
What a joy

Sources please so that I can cement my happiness ,
I was waiting for that moment that German lad at Anfield
Nilisoma Skysport ndugu....

Sasa tusubiri kauli ya Edwards au Klopp and am positive dirisha likishafunguliwa watafanya jambo...

Huu ni mwanzo mzuri Timo kusema mwenyewe yupo tayari kutua Kwa Majogoo..

Sio uamuzi mwepesi ukizingatia tayari tuna established front three in Mane, Bobby and Salah...

Hii ni bonge la statement kutoka Kwa one of the most sort player from German ukumbuke huyu anatakiwa na Bavarians, Inter, Barcelona, Manchester United, Chelsea nk hivyo kusema anasubiri tupeleke ofa atue mazima ni dhahiri as a club we are heading in the right direction...

Nimekusoma

Roger

YNWA
 
Mh!!
20200427_043443.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepata habari Mane hana furaha ndani ya klabu kwa sababu klopp alimpigia kura VVD kwenye tuzo ya Ballon d'Or wakati yeye alikua na msimu mzuri kuliko vvd.

Sio official kutoka kwa Mane Ila inasemekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo clopp Siku zote uwa nasema ni m'baguzi lakin napingwa apa ..angalia ameua kipaji cha Keita, Origi amekuwa bench warmer, straika mzuri kama Daniel Sturridge ameishia kuuzwa tu ..jamaa lina roho ya Hitler lile..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom