Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool ...tuna mkosi gani?
Bado nakumbuka the slip ya Gerrard..
Bado nakumbuka lovren alipomuachia Aguero atufunge mwaka jana..bila hivyo tungekuwa tushavunja arsenal record ya invincible toka mwaka Jana..

Bado nakumbuka Salah alivyoumia fainali ya UCL mwaka Jana na makosa ya Karius ..labda tungekuwa UCL champion mara mbili mfululizo na EPL champion pia mara 2 mfululizo now..

Utasema kuna mkono WA mtu ..
 
Hahahahahahahahah Mume wao.

Yes! Timu zote za Uengereza kwa Miaka 30 iliyopita zilikuwa zikipanuwa mapaja kwa Manure huku zikimbania Liverpool ili kumfavour Manure.

Leo hii ukimuuloza huyo Chelsea Fanboy kuwa unaonaje ubingwa kati ya Liverpool na Manure ni nani bora abebe?

Basi atakujibu 'Bora abebe Manure'.

Ndiyomana nikasema Timu za EPL Manure ni Mume wao.
 
Likizo tyme
5842906148509417.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama hil swala la kuiskip hii EPL2019/2020 litafanikiwa basi hii itakuwa ni dhambi hata kwa mungu na yatakuwa maamuzi magumu sanaa.lkn pia hili litapelekea matatizo kwa baadhi ya fan wa lfc na binafsi mimi kama mimi litanidestroy hata mentality ya kuifuatilia EPL kwa morali,maana itakuwa haina maana kama tumefikia ndoto yetu within a 30 yr afuu uje utuletee hoja nyepec kbs .

Kwann isiwe UEFA,LA LIGA,SERIE A,LEAGUE 1???
 
Hapa litabaki swala la uongozi wa club tu, ni bora tugomee mashindano yote ya FA kuliko kukubali kudhulumiwa, Niko tayari kufatilia Liverpool mchangani ila sio EPL ambayo tulinyang'anywa ubingwa...

Binafsi viongozi wakilipokea hili... itakuwa mwisho wangu kushabikia mpira wa miguu
 
kama hil swala la kuiskip hii EPL2019/2020 litafanikiwa basi hii itakuwa ni dhambi hata kwa mungu na yatakuwa maamuzi magumu sanaa.lkn pia hili litapelekea matatizo kwa baadhi ya fan wa lfc na binafsi mimi kama mimi litanidestroy hata mentality ya kuifuatilia EPL kwa morali,maana itakuwa haina maana kama tumefikia ndoto yetu within a 30 yr afuu uje utuletee hoja nyepec kbs .

Kwann isiwe UEFA,LA LIGA,SERIE A,LEAGUE 1???
Hapa nilipo niko na bad mood kila nifikiria hili swala, mapenzi yangu kwa Liverpool ni zaidi ya upendo wa dhati... Siwedhi kuvumilia jambo hili kwa kuendelea kufatilia mpira
 
Imeisha hiyo zinapigwa kura matokeo tayari mnayo timu nyingi zimekuwa na msimu mbaya msimu huu except Sheffield na Leicester. Wengine wote Nina imani watapiga kura ya ndio kufuta ligi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nilipo niko na bad mood kila nifikiria hili swala, mapenzi yangu kwa Liverpool ni zaidi ya upendo wa dhati... Siwedhi kuvumilia jambo hili kwa kuendelea kufatilia mpira
Mkuu washabik ndo tunateseka sana katika hili aise me kila nikiona taarifa ya corona naona ndo EPL nayo inapitishwa pembeni
 
Binafsi viongozi wakilipokea hili... itakuwa mwisho wangu kushabikia mpira wa miguu
Kwahy we ungeshauri vipi?

Kaa ukijua pale kwa malkia kila siku vifo vinaongezeka kutokana na haya maambukiz!

Serikali haiwez acha watu wafe kisa wewe una ukame wa miaka 30

La msingi matokeo ya Epl yafutwe tuanze upya ILA matokeo ya UEFA yabaki yalivyo na mashindano ya Uefa yaendelee hata mechi moja moja hadi ziishe , hela mlizochuma zinatosha kwa msimu huu!
 
There is a Premier League meeting on coming Thursday to discuss plans on how to end the season. They will be hoping to have more information after Tuesday, when UEFA hold four conference calls to decide the future of European football this season, including Euro 2020.

YNWA
 
Yes! Timu zote za Uengereza kwa Miaka 30 iliyopita zilikuwa zikipanuwa mapaja kwa Manure huku zikimbania Liverpool ili kumfavour Manure.

Leo hii ukimuuloza huyo Chelsea Fanboy kuwa unaonaje ubingwa kati ya Liverpool na Manure ni nani bora abebe?

Basi atakujibu 'Bora abebe Manure'.

Ndiyomana nikasema Timu za EPL Manure ni Mume wao.
Hilo tusi sio mbaya maana yake na wewe umo
 
kama hil swala la kuiskip hii EPL2019/2020 litafanikiwa basi hii itakuwa ni dhambi hata kwa mungu na yatakuwa maamuzi magumu sanaa.lkn pia hili litapelekea matatizo kwa baadhi ya fan wa lfc na binafsi mimi kama mimi litanidestroy hata mentality ya kuifuatilia EPL kwa morali,maana itakuwa haina maana kama tumefikia ndoto yetu within a 30 yr afuu uje utuletee hoja nyepec kbs .

Kwann isiwe UEFA,LA LIGA,SERIE A,LEAGUE 1???
Hii ni namna ya kufikiria ya kiafrika, wazungu hujali kwanza maisha ya watu hayo mengine ni baadae. Klopp mwenyewe kashasema haoni shida yoyote kama hatua itayochukuliwa itasaidia kuokoa hata maisha ya mtu mmoja, huyu ni kocha wa timu, sasa jiulize wewe ni nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jurgen amesema kwamba mpira unaonekana wa muhimu katika orodha ya vitu visivyo vya muhimu.

Yaani watu wamezuia mpaka safari za ndege na mikusanyiko ya aina yoyote halafy nyinyi mnasem mtakuwa mumeonewa.

Suala lililopo ni kwamba tuombe ugonjwa upite pembeni la sivyo hakuna litakalo fanyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni namna ya kufikiria ya kiafrika, wazungu hujali kwanza maisha ya watu hayo mengine ni baadae. Klopp mwenyewe kashasema haoni shida yoyote kama hatua itayochukuliwa itasaidia kuokoa hata maisha ya mtu mmoja, huyu ni kocha wa timu, sasa jiulize wewe ni nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kupoteza muda wako kama hujaelewa mantik yangu , soma kwa umakin kisha ureason
 
Just imagine wachezaji tuliokuwa tunawaita mentality monsters, wamepigana wakiwa na Uhakika wa kutimiza ndoto ya miaka 30, then unawaambia juhudi zenu ni useless.. Yani Sisi ndio tutakuwa timu isiyokuwa na hari kuliko zote kama option ya kufuta msimu itakuwepo
 
Hilo ni tatizo lako binafsi.
kama hil swala la kuiskip hii EPL2019/2020 litafanikiwa basi hii itakuwa ni dhambi hata kwa mungu na yatakuwa maamuzi magumu sanaa.lkn pia hili litapelekea matatizo kwa baadhi ya fan wa lfc na binafsi mimi kama mimi litanidestroy hata mentality ya kuifuatilia EPL kwa morali,maana itakuwa haina maana kama tumefikia ndoto yetu within a 30 yr afuu uje utuletee hoja nyepec kbs .

Kwann isiwe UEFA,LA LIGA,SERIE A,LEAGUE 1???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAAMUZI MAGUMU!
HATMA YA UBINGWA WA LIVERPOOL KUPITIA MBINU HIZI.

LICHA ya kusimamisha Ligi Kuu England kwa wiki tatu hadi Aprili 3 mwaka huu, vichwa vinawauma mabosi wa bodi ya EPL, kutokana na kutakiwa kuja na majibu ya nini kitafanyika iwapo virusi vya Corona vitaendelea kuitesa nchi hiyo.
Hadi sasa hakuna jibu la moja kwa moja linalotolewa na mabosi hao ambao wanatarajiwa kufanya kikao cha dharura wiki hii, kuhusiana na nini kitafanyika ikiwa tatizo la Corona litadumu kwa muda mrefu maana Ligi Kuu England haina kanuni inayoeleza hatua gani zitachukuliwa iwapo ligi itavunjika.

Lakini, wachambuzi wa soka la England wamekuja na aina nne za uamuzi mgumu ambazo vigogo hao wanaweza kuchagua moja.

UAMUZI WA KWANZA:
Kuvunja Ligi
Huu ni uamuzi unaowakera zaidi mashabiki wa Liverpool waliokuwa wanaamini huu ni mwaka wao na baada ya mechi 29 msimu huu wanaongoza ligi kwa tofauti ya pointi 25 mbele ya Manchester City inayoshika nafasi ya pili na wanahitaji mechi mbili tu kutwaa ubingwa wao wa kwanza baada ya miaka 30.
Lakini, kwa mujibu wa uamuzi huu uliowekwa mezani na Makamu Mwenyekiti wa West Ham, Karren Brady, kwa upande wake anashauri ligi ivunjwe na kila kitu kianze upya kuwe hakuna bingwa wala timu ya kushuka daraja, hii ni nzuri kwa timu yake inayoshika nafasi ya 16 ikiwa na pointi 27 na wastani mzuri wa mabao kulinganisha na timu zilizo chini ya mstari wa kushuka daraja.
Uamuzi huu unaiathiri zaidi Liverpool inayokaribia kutwaa taji la Ligi Kuu kwa mara ya kwanza baada ya miaka 30, lakini pia uamuzi huu utaiathiri Leicester City ambayo ipo kwenye nafasi nzuri ya kufuzu kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.

UAMUZI WA PILI:
Kumalizia MECHI
Huu ndiyo uamuzi ambao mabosi wa EPL, wanaona hauna utata kila timu na itapata inachostahili, kupitia uamuzi huu wanataka kusubiri na kumaliza ligi kivyovyote na hata kama tatizo la virusi vya Corona litachukua muda mrefu kiasi gani, lakini vikiisha tu ligi imaliziwe ndipo msimu mpya uanze.
Lakini, ili hili litokee lazima michuano ya Euro 2020 isifanyike ili kutoa nafasi kwa klabu kucheza mechi za ligi wakati wa kiangazi, maana kama michuano hiyo ikiwapo wachezaji watajiunga na timu zao za taifa na hawatapata nafasi ya kucheza soka katika ngazi ya klabu.

UAMUZI WA TATU:
Ligi kuisha hapa
Kama tatizo la Corona lisipomalizwa mapema basi mashabiki wengi wa Liverpool wanataka uamuzi huu ambao ni kumaliza ligi katika hatua hii na kuwapa ubingwa huku. Norwich City, Aston Villa and Bournemouth zikishushwa daraja.
Uamuzi huu unainufaisha zaidi Liverpool ambayo itapata ubingwa ambao inastahili, lakini unaziumiza timu nyingi, kuanzia zile zitakazoshushwa daraja wakati zikiwa na nafasi bado ya kupamba na kubaki Ligi Kuu hasa kutoka na ukweli kuwa tofauti kati ya timu ya 18 na ya 17 na 16 ni mabao tu.
Lakini pia timu ambazo zinapambana kutafuta nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya, Manchester United, Wolves na Sheffield United zitaathiriwa na uamuzi huu kwa sababu bado zina nafasi ya kuingia nne bora kama ligi ikiendelea, lakini ikimalizwa hapa basi hawatashiriki michuano hiyo mwakani.

UAMUZI WA NNE:
Kuongeza idadi ya timu
Ili kuepusha kelele ya timu zitakazoshuka daraja na pia kuiwezesha Liverpool kutwaa ubingwa ambao imeupigania sana msimu huu, basi Bodi ya Ligi inaweza kuamua hakuna kushusha timu daraja na kuipa ubingwa Liverpool.
Na ili kuzipa haki zile timu ambazo zimekuwa na msimu bora Ligi Daraja la Kwanza, timu za Leeds na West Brom zipewe nafasi ya kupanda daraja, hii itamaanisha kuwa msimu ujao utakuwa na timu 22 badala ya 20, huku kila timu ikifurahi, japokuwa zile za timu zinazowania nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa zitalia lia tu.

Ndugu mwanamichezo nini maoni yako?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom