The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,433
Huyu ni hamorapa?
Huyu ni hamorapa?
MASHABIKI wa Liverpool hebu msikieni huyu Makamu Mwenyekiti wa West Ham, Karren Brady anasema eti! kama janga la virusi vya corona halitapatiwa ufumbuzi basi msimu huu ufutwe na matokeo yote ya 2019-20 yasitambulike.
Yaani anachomaanisha huyu mama ni kuwa licha ya Liverpool kuhitaji mechi mbili tu kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England ikitokea janga la virusi vya corona limekosa uvumbuzi basi kila kitu kianze upya msimu ujao.
Tayari, Ligi Kuu England imesimamishwa kwa wiki tatu hadi angalau Aprili 3 baada ya kocha wa Arsenal, Mikel Arteta na winga wa Chelsea, Callum Hudson - Odoi kukutwa na virusi vya corona.
Sasa Karren ameibuka na kudai kuwa kama janga hili halitapata ufumbuzi basi hakuna namna zaidi ya kuuvunja jumla msimu na kufuta matokeo yote, kisha kuanza upya mara baada ya hali ya mambo kutulia.
Kama mabosi wa Ligi Kuu England wamkisikiliza Karren basi ndoto za Liver kubeba taji lake la kwanza la Ligi hiyo katika kipindi cha miaka 30 itakufa na pia hata klabu za Daraja la Kwanza ambazo zilikuwa na nafasi ya kupanda pia zitabaki chini na kusubiri msimu mwingine.
Lakini, kwa Karren uamuzi huo utainufaisha klabu yake kwa sababu kwa sasa West Ham inashika nafasi ya 16, ikiwa juu ya mstari wa kushuka daraja kwa tofauti ya magoli tu, hivyo anakomaa kwa sababu anaamini hilo litakiokoa kikosi chake.
Karren alisema; "Kusimamishwa au kufutwa ni ligi jambo lililowazi, hatuwezi kukwepa ukweli kuwa kuna uwezekano ligi katika ngazi zote pamoja na Ligi Kuu zinaweza kufutwa na kila kitu kuhusu msimu huu kikafutwa pia kama wachezaji hawezezi kucheza soka ligi haiwezi kuendelea.
"Ligi Kuu England inaamini kuwa baada ya wiki tatu mambo yanaweza kurudi sawa, lakini hiyo inaweza kuwa ndoto, hivyo itakuaje kama ligi haitaisha? Wakati huu ambao mechi kote katika Ligi Kuu na Ligi Daraja la kwanza zimeathiriwa, kitu pekee cha kiungwana na busara cha kufanya ni kufuta msimu mzima."
Karren anadai kuwa kama Ligi ikishindwa kumalizika jambo pekee la busara la kufanywa ni kufuta msimu mzima, japokuwa anakiri kuwa Liverpool haitakuwa imetendewa haki, lakini hakuna namna kwa sababu hakuna aliyetarajia hili litatokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hey Doc....Ni ligi moja tu ya England ndo inalazimishwa ianze upya hzi story siziskii Spain na kwingine
People are just stupid
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana Liverpool fans kwa maoni yangu hayaMASHABIKI wa Liverpool hebu msikieni huyu Makamu Mwenyekiti wa West Ham, Karren Brady anasema eti! kama janga la virusi vya corona halitapatiwa ufumbuzi basi msimu huu ufutwe na matokeo yote ya 2019-20 yasitambulike.
Yaani anachomaanisha huyu mama ni kuwa licha ya Liverpool kuhitaji mechi mbili tu kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England ikitokea janga la virusi vya corona limekosa uvumbuzi basi kila kitu kianze upya msimu ujao.
Tayari, Ligi Kuu England imesimamishwa kwa wiki tatu hadi angalau Aprili 3 baada ya kocha wa Arsenal, Mikel Arteta na winga wa Chelsea, Callum Hudson - Odoi kukutwa na virusi vya corona.
Sasa Karren ameibuka na kudai kuwa kama janga hili halitapata ufumbuzi basi hakuna namna zaidi ya kuuvunja jumla msimu na kufuta matokeo yote, kisha kuanza upya mara baada ya hali ya mambo kutulia.
Kama mabosi wa Ligi Kuu England wamkisikiliza Karren basi ndoto za Liver kubeba taji lake la kwanza la Ligi hiyo katika kipindi cha miaka 30 itakufa na pia hata klabu za Daraja la Kwanza ambazo zilikuwa na nafasi ya kupanda pia zitabaki chini na kusubiri msimu mwingine.
Lakini, kwa Karren uamuzi huo utainufaisha klabu yake kwa sababu kwa sasa West Ham inashika nafasi ya 16, ikiwa juu ya mstari wa kushuka daraja kwa tofauti ya magoli tu, hivyo anakomaa kwa sababu anaamini hilo litakiokoa kikosi chake.
Karren alisema; "Kusimamishwa au kufutwa ni ligi jambo lililowazi, hatuwezi kukwepa ukweli kuwa kuna uwezekano ligi katika ngazi zote pamoja na Ligi Kuu zinaweza kufutwa na kila kitu kuhusu msimu huu kikafutwa pia kama wachezaji hawezezi kucheza soka ligi haiwezi kuendelea.
"Ligi Kuu England inaamini kuwa baada ya wiki tatu mambo yanaweza kurudi sawa, lakini hiyo inaweza kuwa ndoto, hivyo itakuaje kama ligi haitaisha? Wakati huu ambao mechi kote katika Ligi Kuu na Ligi Daraja la kwanza zimeathiriwa, kitu pekee cha kiungwana na busara cha kufanya ni kufuta msimu mzima."
Karren anadai kuwa kama Ligi ikishindwa kumalizika jambo pekee la busara la kufanywa ni kufuta msimu mzima, japokuwa anakiri kuwa Liverpool haitakuwa imetendewa haki, lakini hakuna namna kwa sababu hakuna aliyetarajia hili litatokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana Liverpool fans kwa maoni yangu haya
Ifutwe tu ili Samata abakie EPL msimu ujao
Uzalendo kwanza
Haha mkuu etu mume waoWhy Spain, Italy, Germany and France hakuna hizi kauli za kufutwa Ligi zao Bali ni Uengereza tu ndiyo wanapambania Ligi ifutwe?
Kama shida ni Liverpool kuongoza Ligi kwanini Vilabu vyote visishirikiane kupiga kura ya kufutwa Club ya Liverpool tu ili Ligi iendelee bila ya kuathiri Vilabu vyengine kama Leeds United ambayo inategemea kucheza Premier League next season? Coz Leeds huenda nafasi ya kupanda mwaka huu asiipate tena!
Ivi angelikuwa anaongoza Mume wenu Manure Vilabu vyenu Vingeng'ang'ania Ligi ifutwe?
Hahahahahahahahah Mume wao.Why Spain, Italy, Germany and France hakuna hizi kauli za kufutwa Ligi zao Bali ni Uengereza tu ndiyo wanapambania Ligi ifutwe?
Kama shida ni Liverpool kuongoza Ligi kwanini Vilabu vyote visishirikiane kupiga kura ya kufutwa Club ya Liverpool tu ili Ligi iendelee bila ya kuathiri Vilabu vyengine kama Leeds United ambayo inategemea kucheza Premier League next season? Coz Leeds huenda nafasi ya kupanda mwaka huu asiipate tena!
Ivi angelikuwa anaongoza Mume wenu Manure Vilabu vyenu Vingeng'ang'ania Ligi ifutwe?
Angekuwa anaongoza ligi Cheltako ungesema ligi ifutwe.Poleni sana Liverpool fans kwa maoni yangu haya
Ifutwe tu ili Samata abakie EPL msimu ujao
Uzalendo kwanza
Rejea wakati wa Vita ya kwanza na ya pili ya dunia ilikuwaje?Ni ligi moja tu ya England ndo inalazimishwa ianze upya hzi story siziskii Spain na kwingine
People are just stupid
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala usipaniki, hakuna mtu atafuta ligi, media za Uingereza wanatumia fursa hii kuuza habari.Why Spain, Italy, Germany and France hakuna hizi kauli za kufutwa Ligi zao Bali ni Uengereza tu ndiyo wanapambania Ligi ifutwe?
Kama shida ni Liverpool kuongoza Ligi kwanini Vilabu vyote visishirikiane kupiga kura ya kufutwa Club ya Liverpool tu ili Ligi iendelee bila ya kuathiri Vilabu vyengine kama Leeds United ambayo inategemea kucheza Premier League next season? Coz Leeds huenda nafasi ya kupanda mwaka huu asiipate tena!
Ivi angelikuwa anaongoza Mume wenu Manure Vilabu vyenu Vingeng'ang'ania Ligi ifutwe?
Utajisikiaje UEFA ifutwe ianze upya?Ni ligi moja tu ya England ndo inalazimishwa ianze upya hzi story siziskii Spain na kwingine
People are just stupid
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha eti Mume wao 😂😂😂😂😂😂.....Why Spain, Italy, Germany and France hakuna hizi kauli za kufutwa Ligi zao Bali ni Uengereza tu ndiyo wanapambania Ligi ifutwe?
Kama shida ni Liverpool kuongoza Ligi kwanini Vilabu vyote visishirikiane kupiga kura ya kufutwa Club ya Liverpool tu ili Ligi iendelee bila ya kuathiri Vilabu vyengine kama Leeds United ambayo inategemea kucheza Premier League next season? Coz Leeds huenda nafasi ya kupanda mwaka huu asiipate tena!
Ivi angelikuwa anaongoza Mume wenu Manure Vilabu vyenu Vingeng'ang'ania Ligi ifutwe?
Upo sahihi ndugu tahadhari ndio njia pekee Kwa sasa...![]()
- Kwa maelezo haya less than 6 percent ndio ugonjwa unaweza kusababisha kifo
- Zaidi ya 84% ya walioambukizwa wanapona na kuendelea na maisha
- Muhimu ni kuchukua tahadhari na hatua mapema kabisa