Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

EPL itarejea mwezi wa 4
Lakini bora Corona ibane zaidi Spain, Ujerumani na Ufaransa ili CL ifutwe kabisa tuanze upya [emoji23] [emoji23]
 
League itaendelea baada ya April 3
Wamehairisha sherehe zetu lkn ubingwa upo pale pale
Liverpool HALISI tuzidi shikamana,tupo pazuri
 
Korona imeleta majanga kwenye burudani, Mechi zote za UEFA, EFL, EPL, Serie A na La liga zahairishwa hadi April 4. Nani ajuaye baada ya hapo tutasikia Ligi imesitishwa na Serikali ili kutoa fursa kwa serikali kupambana na maambukizi ya Korona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wachezaji wa Arsenal na kocha wao wametuponza wameharibu ratiba zote za weekend ghafla ghafla yani sahv kila sehem maujumbe ya kutishana sasa....[emoji31][emoji31]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Breaking News

The Premier league board are reportedly going to issue Liverpool a certificate of participation instead of the trophy as the league is expected to be canceled due to Coronavirus

More details to follow soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha Sema mulipanga msimu huu mubebe eufa na EPL kitu ambacho ni kichekesho hahaha ..

Sema nini komaeni na EPL maana yanaweza yakawakuta pia uko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adriana alikuwa na stress baad ya kufungwa goli la kizembe na Willian wa Chelsea..

#CFC[emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SKY SPORT NEWS


Emergency PL meeting on Thursday to discuss what happens next. West Ham vice-chairman Karren Brady says in The Sun: “The only fair and reasonable thing to do is declare the whole season null and void. A huge blow to Liverpool who might be robbed of their first title for 30 years”
 
Wakuu wa loser fools poleni naona hii Curuna Virus ooops COVID-19? Yes Coronavirus imeleta mambo ambayo kwa kweli kama wahenga walivyochema ''ng'ombe wa masikini hazai, akizaa mtoto anakufa'' Yaani after 30 years mnataka kutuletea certificate of participation? Haikubaliki, wapi tukakate rufaa? Pengine kwa Judge Mfawidhi, hatutakubali hii ni njama iliyopangwa na kusukwa na Manure wakishirikiana na Gunners ili tuendeleze uhaba wa miaka 30 na ushee yaani tusibebe EPL tangu ilipozaliwa. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding dong.
 
Wanangu wa Liverpool mtakubali huu ujinga?

"As games in both the PL and in the EFL are affected, the only fair and reasonable thing to do is declare the whole season null and void."
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…