Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kabisa alikua so concerned mida fulani wakati gemu unaendelea..

YNWA

I think he was frustrated because of one between the two reasons↓↓

1) Either due to bad referee decision kwenye first goal tuliloconcede coz Gomez was pushed by Wilson.
2) Or because the players didn't follow correctly his instructions that led them to play like toothless tiger kwenye First Half.
 
Our own Fans said this "Swap Salah with Adama Traore"
"Sell Salah and bring back Harry Wilson to replace him"...
And more bullshit..
I'm repeating again "Salah is our goal machine"
20+ goals kwenye three consecutive seasons!!! What a player!
Hahahaha Adama muuza sura yule viatu vya Salah sio size yake huko hajafika kabisaaa kazi kwake afike huko...

Wilson hii ni aibu kumfananisha na Salah..


Adama amecheza mechi 88 Wolves na amefunga magoli 8 tu 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️... Adama ana assist 11.

Wilson msimu huu amefunga magoli 8 pale Bournemouth katika mechi 30 na goli moja Wales... Wilson ana assist 2 tu.

Salah msimu huu ana magoli 22,.. mawili Egypt na 20 Liverpool...Salah ana assist 8.

Kwa Pamoja hawafiki magoli ya Salah..

Kwa uhakika kabisa hakuna mmoja wao hapo mwenye uwezo au anaekaribiana na uwezo wa Salah...

YNWA
 
Yeah man push was foul to be and that was never given probably Gomez could have fallen down then ref angereact...

Hilo la toothless ndio linahutaji his guidance maana its was below per expectation..

Always there is room for improvement...

YNWA
 
Kesho mnakutana nabl citeh

Twawaombea mpunguze magoli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…