Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,682
NopeToa Bobby ingiza Origi
NopeToa Bobby ingiza Origi
Kabisa kaka...Brother Kama tutamjudge mchezaji kwa criteria hiyo then hatunahaja ya kumlaumu Karius kwa kufungwa Finali ya CL coz niyeye ndiye aliyepigana na kutufikisha Fainali ya CL.
Na niyeye Karius aliyetupatia points za kuingia Top Four na ilapelekea kupata nafasi ya kucheza CL na tukabeba Kombe.
Ana tackling na pasi za uhakika..Dogo mtam nguvu tu aongeze.
Talent hizi hatuna sijui kocha ndo hapendi?namba sita inayo tembea na mpira verati Ndombele
Kama ni ngumu sana kwa Sancho basi Hervit na Catwell waje wachangamshe kaka zao.
Wener mwepesi tu kumpata mana wenye team wanataka pesa.
Liverpool mmepotea asee. Kuna goli mmefunga ambalo mmelicreate wenyewe bila makosa ya Bournemouth.
Naona mnaanza kupoteana. Wachezaji wapo wapo. Ake angekaza vizuri mbona ingekuwa droo, kwa hii run mjipange UEFA au next season vizuri kwa signing.
Man U fan
Umemuona Klopp baada ya mechi thumping his chest and appreciating the fans..Ushindi wa leo ni muhimu kuliko kitu chochote kile kwenye soccer.
Leo tushinde ili turudishe morali kwa wachezaji.
#YNWA
Mkuu utawaumiza Manure FCLet put this straight ...
Liverpool are the first team in English top-flight history to win 22 consecutive home games, breaking their own record!!
Kwa wale wabishi wasiojua Kiingereza, Liverpool ndo timu ya kwanza na pekee Uingereza ligi za juu kushinda mechi 22 mfululizo akiwa nyumbani. Na hapo amevunja rekodi yake mwenyewe.
GEET IINNN!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo?Liverpool mmepotea asee. Kuna goli mmefunga ambalo mmelicreate wenyewe bila makosa ya Bournemouth.
Naona mnaanza kupoteana. Wachezaji wapo wapo. Ake angekaza vizuri mbona ingekuwa droo, kwa hii run mjipange UEFA au next season vizuri kwa signing.
Man U fan
Watu wasiojua mpira utawajua tu. Anakuambia hakuna goli tulilofunga bila makosa ya Bournemouth, hajui kuwa kama sio jitihada zetu kuwa press ili wafanye makosa basi wasingeweza kufunga. Hajui kuwa hata goli la Bournemouth na sisi tulifanya makosa ndio wakafunga.Another trash post at wrong place!
Why didn't you say Mane, Salah na Firmino wangekaza kidogo tu tungeliwapiga Bournemouth nyingi?
Au kujikaza ni wajibu wa Ake tu na wala si kwa Liverpool?
RIP Manure! Fight for top 5 coz even top 4 is too big for U.