Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hicho cheo cha "trebel yenye heshima" kimetolewa na body gani officially?

Definition ya heshima ni nini? Je mtu akishinda Champions League, Super Cup na Club world Cup sio trebel ya heshima? Na kama utasema sio ya heshima je ni kulingana na kanuni zipi zilizopitishwa na nani?
Sasa mzee huoni hata utofauti wa hupatikanaji wa hizo treble mfano super cup you only need one match kuwa crowned ,cwc you need two matches ukitokea uerope bado huoni treble ipi ni ngumu kupata kuliko nyenzake u cant be serious unless unabisha usichokijua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure Mkuu that a done deal...

Chipping easy goals boys losing position passes like its a new team...

Watching the games and 1st 30 minutes I see we are losing man tulishasahau haya mambo...

It's must have been hard for the other big six man losing games now and then... Sisi hapa game 2 tu and its feels like we have lost the season lol losing is scary and stressful...

Now Klopp bring back the happy times...

YNWA
Fabinho has lost all his defensive qualities

He leaves the two CB very exposed

He clogs #8 and #9 by occupying their space... Narrows the field and ki every full backs advancement

Better double pivot ya Gini na faby or Gini na naby
 
Sasa mzee huoni hata utofauti wa hupatikanaji wa hizo treble mfano super cup you only need one match kuwa crowned ,cwc you need two matches ukitokea uerope bado huoni treble ipi ni ngumu kupata kuliko nyenzake u cant be serious unless unabisha usichokijua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umetumia akili kufikiri au umekurupuka tu?

Hiyo mechi moja ya Super Cup au hizo mbili za Club World Cup ni team inachaguliwa tu randomly kuwa kachezeni hiyo fainali kwa upendeleo sio?

Kama hujui ni kuwa mpaka ucheze hizo fainali ina maana ulifanikiwa kushinda tournament ingine (CL) baada ya kucheza mechi nyingi za group stage na knock out stages.
 
We have set standards, so we are being measured by our own standards.

Going 3 straight games without a goal for the first time under Klopp should be a wake up call.

Whatever the achievements this season, it is high time we look into rejuvenating our striking squad.
 
Kumbe unajua dhihaka zinauma ee uliposema 20th ulikua unadhan sio ushindi ule au? Msimu huu mlitegemea treble ikiwemo na epl ili kupata heshima zaidi. Pigania kwanza taji la EPL usije kupovuka zaidi mkuu.
Hicho cheo cha "trebel yenye heshima" kimetolewa na body gani officially?

Definition ya heshima ni nini? Je mtu akishinda Champions League, Super Cup na Club world Cup sio trebel ya heshima? Na kama utasema sio ya heshima je ni kulingana na kanuni zipi zilizopitishwa na nani?
 
Kaniambia nifanye research wakati yeye hajafanya hio research.
Sasa mzee huoni hata utofauti wa hupatikanaji wa hizo treble mfano super cup you only need one match kuwa crowned ,cwc you need two matches ukitokea uerope bado huoni treble ipi ni ngumu kupata kuliko nyenzake u cant be serious unless unabisha usichokijua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe unajua dhihaka zinauma ee uliposema 20th ulikua unadhan sio ushindi ule au? Msimu huu mlitegemea treble ikiwemo na epl ili kupata heshima zaidi. Pigania kwanza taji la EPL usije kupovuka zaidi mkuu.
Nani alikuambia kuwa tulitegemea trebel? Je kulikua na official statement kutoka katika club kuhusu hilo jambo?

Je ukibishana na shabiki mmoja huko mtaani kwenu ndio una conclude maoni ya mshabiki wote na club kwa ujumla?

Wewe furahia kuwa hatutashinda tena trebel lakini usianze kusema tulitegemea trebel msimu huu ili kupata heshima zaidi. Heshima tunayo kama mabingwa wa Ulaya, mabingwa wa dunia na soon to be mabingwa wa England.

Sijui nyie mna nini. And btw mimi siumizwi na mpira maana naufahamu vizuri na pia kejeli zako au dhihaka haziwezi kuniumiza. Nilikuwa naweka facts ziwe sawa tu kuhusu hilo la 20th century.
 
Huu uzi una vituko,mashabiki wa humu humu mlikua na ndoto hizo. The invincible, treble now mtu mmoja unaanza kuleta za official announcement toka kwa club,tangu lini klabu ikaleta mambo ambayo wanatakiwa kufanya mashabiki.

Mkuu ukikosa taji la HESHIMA unalilisubiria kwa hamu usije ikana hii comment yako na kusema hakuna official statement toka kwa klabu kuhusu taji la EPL.

Basi mkuu aki comment mtu mmoja humu au wawili usi conclude kuwa ndio maoni ya kila mmoja. Labda uwe specific kuwa member fulani alisema hivi ama vile ila usi generalize maoni ya mtu mmoja au wawili ukayafanya yawe ya wote. Sawa bro?
 
kinachoniuma ni kutofikia rekodi ya arsenal kuchukua taji bila kufungwa hayo mengine klopp alishayapuuza muda sana sema ni kama bahati tumefika hapo maana tulikuwa tunachezesha vitoto toka mwanzo
 
Acha ubishi kijana kama hauiamini timu yako kuwa the invicible na kupiga makombe mengi kwa wakati mmoja basi ni wewe usitake na wengine wasipige hizo ramli.

Bro!!ooh waaow aiseee ndo maana haueleweki unabisha nini. Do some research mkuu,avatar hauioni?
Basi mkuu aki comment mtu mmoja humu au wawili usi conclude kuwa ndio maoni ya kila mmoja. Labda uwe specific kuwa member fulani alisema hivi ama vile ila usi generalize maoni ya mtu mmoja au wawili ukayafanya yawe ya wote. Sawa bro?
 
Sina huo muda nasubiria misukule mlete summary niwatoe mapovu
Kama nilivyotabiri ndio imekuwa hajazungumzia mahusiano yake Hadi sasa zaidi ya kutambulishwa kuwa ambassador wa kampuni ya coral paints wammbeya Hadi sasa wameumbuka
 
Liverpool Trophies:
League Tittles: 18
Premier League Champions: 18 (1900/01, 1905/06, 1921/22, 1922/23, 1946/47, 1963/64, 1965/66, 1972/73, 1975/76, 1976/77, 1978/79, 1979/80, 1981/82, 1982/83, 1983/84, 1985/86, 1987/88, 1989/90)

European Trophies: 12
UEFA Champions League: 6 (1976/77, 1977/78, 1980/81, 1983/84, 2004/05, 2018/19)
UEFA Europa League: 3 (1972/73, 1975/76, 2000/01)
UEFA Super Cup: 4 (1977, 2001, 2005 ,2019)

FIFA Club World Cup: 1 (2019)

FA Cup Trophies: 7 (1965, 1974, 1986, 1989, 1992, 2001, 2006)

League Cup: 8 (1980/81, 1981/82, 1982/83, 1983/84, 1994/95, 2000/01, 2002/03, 2011/12)

Community Shield: 16
FA Community Shield: 2 (2001, 2006)
FA Charity Cup: 13 (1964, 1965, 1966, 1974, 1976, 1977, 1979, 1980, 1982, 1986, 1988, 1989, 1990)
Sheriff of London Charity Shield: 1 (1906)

Other Trophies:
Second Division: 4 (1893/94, 1895/96, 1904/05, 1961/62)
Lancashire League: 1 (1892/93)
Football League Super Cup: 1 (1985–86)
Kama nilivyotabiri ndio imekuwa hajazungumzia mahusiano yake Hadi sasa zaidi ya kutambulishwa kuwa ambassador wa kampuni ya coral paints wammbeya Hadi sasa wameumbuka
 
Acha ubishi kijana kama hauiamini timu yako kuwa the invicible na kupiga makombe mengi kwa wakati mmoja basi ni wewe usitake na wengine wasipige hizo ramli.

Bro!!ooh waaow aiseee ndo maana haueleweki unabisha nini. Do some research mkuu,avatar hauioni?
Team yangu naiamini sana kuwa inaweza kufanya lolote kushinda makombe yote. Lakini pia najua mpira una matokeo matatu kushinda, draw na kufungwa. Na najua kuwa hakuta team isiyofungwa hata ikiwa bora namna gani kuna siku itafungwa so masuala ya invicibility na mengine ni bonus tu.

Duh kumbe wewe sio bro? Najuaga hii ID ni masculine. Avatar sio kipimo cha jinsia ya ID.

Anyways, sorry sister.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom