Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,854
Team yangu naiamini sana kuwa inaweza kufanya lolote kushinda makombe yote. Lakini pia najua mpira una matokeo matatu kushinda, draw na kufungwa. Na najua kuwa hakuta team isiyofungwa hata ikiwa bora namna gani kuna siku itafungwa so masuala ya invicibility na mengine ni bonus tu.
Duh kumbe wewe sio bro? Najuaga hii ID ni masculine. Avatar sio kipimo cha jinsia ya ID.
Anyways, sorry sister.
OyaSent using Jamii Forums mobile app