Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha, Watford amesababisha hii thread iwe maarufu ghafla.

Mlitukimbia kabisa nyie jamaa.
mkuu mimi nina jambo langu hapa hahahahahhahahahahhahah unakumbuka mara ya mwisho uliniambia nini?ulisema kuwa suala la ubingwa wewe huna shida nalo maana tayari ushabeba na huo ndio uhalisia ,ila ulikuwa unataka kuvunja rekodi yangu ya unbeaten hahahahahahahahahahhahah nina furaha sasa maana ndicho ninachoringia kwa sasa
 
Kufungwa na watford kumeniuma sana kwa kweli hizi game 3 za mwisho sijui tatizo ni nini?

Timu sasa ndo inaenda kucheza mpira halisi siyo tena ku-defend au break a record ... we are going to start another new record

Game 3 zilizopita niliangalia na mshabiki wa Man Utd, nikawa namwambia tayari Liverpool upepo umekata na si muda tutapoteza.
 
wewe ongea yote ,ita watu wendawazimu lakini maneno yako hayatavunja furaha yangu ya rekodi yangu ya kutokufungwa katika msimu wote wa ligi.....wewe nyumbu huna hata sababu ya kucomment hapa ungetulia tu mbugani.
Wakati arsenal anavunja rekodi wewe ulikuwa unajua chochote kuhusu mpira? Wewe inaonyesha kabisa mpira umeanza kufuatilia juzi kati tu apo 2010/11 ivi ..tena ulikuwa mfata mkumbo tu..[emoji23][emoji23][emoji23] ata iyo rekodi sidhan kna ulikuwa unaijua ..hahaha

This is Chelsea

#CFC[emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna maadui wengi sana you can see that

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe siku utapoacha kuvuta bange ndio utakapoacha kushabikia Chelsea,maana hizo ganja ndio zinakufanya uione hiyo chelsea kama barcelonaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na hili turubai tukilitoa hapa linahamia kwako ,maana bavarian lazima wakutindue.....


London is Red
 
Watford midfielder Abdoulaye Doucoure, 27, should be a target for Liverpool, according to former England international Owen Hargreaves.
 
Game 3 zilizopita niliangalia na mshabiki wa Man Utd, nikawa namwambia tayari Liverpool upepo umekata na si muda tutapoteza.

Sijui shida ni nini, we make errors ambazo baada ya ligi kukaa sawa sikuwaza kama tutazifanya, hope we'll back big

Next game kivyovyote vile inabidi tushinde ili game against Atletico tusiwe na pressure
 
Tuna maadui wengi sana you can see that

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukiwa na timu mbovu inayofungwa mara kwa mara huwezi kuwa na maadui. Mfano wa Man Utd Arsenal na Chelsea; kwa nini uwachukie?

Ukiwa unafanya vizuri sana lazima utengeneze maadui. Hakuna mpinzani anayependa kuona mwenzake anashinda kila mara.

So, chagu moja; ufanye vizuri uwe na maadui au uwe average au below usiwe na maadui.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…