Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni ule utoto na usomi wa juzi na utajiri mkubwa alionao unamtesa akikosa heshima ya kusiwa humu labda [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuwahi kuwazia hata siku moja tungemaliza ligi bila kufungwa, me kinachonishangaza ni kwa nini tangu tumetoka winter break tumepoteana wakati wenzetu wameimarika. Hata game ambazo tumeshinda basi ni kwa tabu sana. Na trend ikiwa hivihivi basi ni majanga na aibu. Wachezaji walorudi break na kiwango chao ni Allison na Gomez tu, hii front 3 wala siwaelewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufungwa na watford kumeniuma sana kwa kweli hizi game 3 za mwisho sijui tatizo ni nini?

Timu sasa ndo inaenda kucheza mpira halisi siyo tena ku-defend au break a record ... we are going to start another new record
muhimu kwetu ubingwa, tumetukanwa sana jamani msisahau.
kuonyesha unyonge ni kuwapa wapinzani furaha, maana wamechoka wamechukia wamekata tamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyu kuku aliyechinjwa jana tunamlaje wakuu..
Mim napendekeza tumle ivi..

Sisi waombolezaji kutoka Chelsea kutokana na hadi yetu tutakula upaja na mgongo.

Wale wa arsenal wao miguu pa1 na firigisi zinawatosha.

Wale wa Man u wao watakula utumbo na kichwa.

Wale wa spurs na man city wao watagawana vipapatio na maini..

Sehemu ingine iliyobakia watapewa wale wadhamiaji wa msiba kutoka club zingine..

Hii ndivyo tunavyomla uyu kuku..

Asanteni mnakaribishwa nyote..

#CFC[emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fikra za kuchukua ubingwa bila kufungwa mlikuwa nazo hasa,sema limetokea hili kama ajali tu.....
 
sisi Arsenal ndio wakula mapaja wewe,wewe huna hadhi ya kula mapaja,
 
Klopp anajua nani acheze kuliko sisi!
Imefungwa Liverpool na pls Liverpool halisi epukeni na kutaja wachezaji fulani kama hawa ndiyo wametufungisha bali iwe tumefungwa wote


Sent from my iPhone using JamiiForums
sahihi mkuu,poleni sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…