Umeona soka lilivyo sasa... Kwamba unaweza chapika na timu yoyote ile... Tena ikiwezekana kwa aibu kabisa kama leo.... Na imani ile michezo yako ya kuita wachezaji wa timu nyingine takataka utaipunguza kuanzia leo... Enjoy soccer.Please Kop!!!Please Kop!!!@
Tusilalamike sana,Tusiwatukane wachezaji wetu,Tusimtukane Manager ,Walipotufikisha ni Mbali.Tuwape Respect.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee....
Sijapita huku mwaka umeisha!
Habari Kaka?
Mzee baba hii unbeaten ni special kwa arsenal tuPlease Kop!!!Please Kop!!!@
Tusilalamike sana,Tusiwatukane wachezaji wetu,Tusimtukane Manager ,Walipotufikisha ni Mbali.Tuwape Respect.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona soka lilivyo sasa... Kwamba unaweza chapika na timu yoyote ile... Tena ikiwezekana kwa aibu kabisa kama leo.... Na imani ile michezo yako ya kuita wachezaji wa timu nyingine takataka utaipunguza kuanzia leo... Enjoy soccer.
Keita ni box to box midfielder,sio defensive Wala offensive.yeye ni kama wale kina gaucho,deko,seedorf nayi ni no 10
Sent using Jamii Forums mobile app