Kwa tafsiri rahisi ya Box to Box:box to box is not a position in the field/pitch. rather is a playable role. Simply midfield mjanja situational. he can move forward if chance is there he can score when opponents wakizembea, ana shoot long range etc,Keita ni box to box midfielder,sio defensive Wala offensive.yeye ni kama wale kina gaucho,deko,seedorf nayi ni no 10
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ushakuwa mtabiri sasa kwa kusema nimekaa kijijini sana.Wewe una matatizo makubwa sana, na haya madhara ya kukaa vijijini sana, na hata ukielezwa hutaki kuelewa unaminyana kubisha, tabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ushakuwa mtabiri sasa kwa kusema nimekaa kijijini sana.
Ngoja nikusaidie kitu ili ujifunze. Kuna mstari mmoja kwenye bible unasema "waweza kumuacha "mkeo" kwa dhambi ya uasherati. Yaani ukishakuwa kwenye ndoa na ukatembea na mtu mwingine nje ya ndoa haiitwi ngono Bali inaitwa uasherati.
Tupo kwa ajili ya kuwaelimisha watu kama nyie tena kwa upole wa hali ya juu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukahisi ukiuliza hivyo hautapata majibu?
Hapa nicheke tu mana nna mtazomo tofauti na wako.Mkuu Keita sio tu juzi ndugu mbali kwa mechi nyingi tu hatupi tunachotarajia tukione kwake pengine hii inatokana na muda mwingine kuchezeshwa nafasi 'asiyopenda' na kadhalika...
Binafsi naona haya majereha yakujirudia yamemwadhiri mno kiasi hatuelewi lini tena tutaona ule ukali wake na pia akiwa bila jeraha lolote hata mechi 3 mfululizo...
Keita kama hali itaedelea hivi hivi aisee naona January 2021 aruhusiwa kurudi RB [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji849][emoji849] pale hatukosi jembe lingine...
Ukweli ni kwamba benchi letu limepwaya hivyo hatuna namna ni kuwategemea hao Chambo, Keita, Origi, Lallana... Takumi naona huyu anahitaji preseason ili amwelewa vyema Klopp maana kwa sasa hatuna muda wa trials mbali tunataka matokeo...
Natarajia baada ya akina Lallana, Shaqir nk kuondoka klabu itasajili vyema...
Kwa sasa ndugu hatuna namna ni akina Salah wawe wanamaliza gemu mpaka wanapata sub pointi zinakua kibondoni..
By the way magoli ya Chambo Kwa kushinda pointi muhimu yupo juu aisee..
YNWA
Najua hachezi vibaya sasa nataka ulingano wao tu ukizingatia mmoja ni mgonjwaKijana yani msimu bado unashaka na performance ya Hendo?
Mkuu nilisema... Pengine haya majereha ya kujirudia mara kwa mara yanamwadhiri kiwango chake pindi anapopona na kurejea uwanjani...Hapa nicheke tu mana nna mtazomo tofauti na wako.
Yani hafai kiasi cha kutupiwa virago dah.
Keita ndo kiungo alo onyesha uwezo kuzidi waliopo wa mbele.
Labda ungenambia hafai kwa sababu ya majeraha yake
Hata mechi ya juzi hajacheza vibaya kulingana na kiwango cha mwenye hiyo namba.
Kama kawaida yangu, game ya 45 leo nina magoli yangu 3 mfukoni.
45 unbeaten run.
4 to go kumfikia Arsenal.
Hahaha, mimi ndoo nilishamalizana nayo.
Namtafuta Arsenal.
Ukahisi ukiuliza hivyo hautapata majibu?
Narudia tena tuko kwa ajili ya kuwapa elimu watu kama nyie.View attachment 1372247
Sent using Jamii Forums mobile app