Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Lazima tukumbuke kuwa Westham walikuwa ni Relegator
Hivyo walikuwa na kila sababu ya kuwa piga uwa lakini wafight till the end
Could have enjoyed more ingekua yule babu Pellegrin ndio bado kocha wao...

I remember last season walitukazia sare na alivyoulizwa akasema angependa kuona ubingwa unakwenda kwa mwajiri wake wa zamani Sheikh Mansoor...

YNWA
 
Wewe ndo hujui na wala uelewi chochote, unakurupuka tu, Ngono ni zawadi ya aliyo itoa kwa wanandoa, kasome hata vitabu vya dini

Sent using Jamii Forums mobile app

Dadeki! Kumbe ndiyomana Timu zote zimetuchukia kupita kiasi pale tunapobeba Kombe 😀😀😀
Yani kushiba mwaka huu basi majibu yetu humu unawezajibiwa ukahama nchi
 
Link ili
Sio bure una lako jambo, why unataka pm na sio public?
iliwekwa humu humu public watu wakajiunga kwenye group lakini ustaarabu ukawa hakuna wakaanza kuleta mizaha na kejeli nyingi halafu lile group hatujaadili wala hatufanyi uchambuzi wa mpira tunapanga mipango ya kusheherekea ubingwa wa EPL, anyway kama ni ngunu kutoa namba yako na yawezekana hauna imani na mimi acha tu. Lakini wapo wengi ambao tayari wamejiunga na group na wanajua nini kinachoendelea.
 
Hadi huko UEFA tulikobeba wote walikuwa kwenye transition? [emoji23] [emoji23] [emoji23] na kwani sisi ndo tulikuweka huko kwenye transition? Kwahyo tusishinde sbb wewe upo kwenye transition? Tukungoje au sio? [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah mkuu polee sana naona unaumia sanaaa ila kawaida iyo
Sijajua kwann wenzetu Man u ambao hamshindi kwa bahati tumewapita point zaid ya 30
 
One thing that standing out above all is when you are Champions elect playing sweetly ain't in the ingredients rather grinding result whatsoever way necessary...

Last two seasons we were playing eye catching sweet candy football and we didn't win the most sort by us Red men...

Come this season we have seen there ain't that sweet delicious flow game and yet time after time we are winning in very unorthodox ways...

YNWA
 
Keita aje achukue namba ya captain hendo???? Kwa mpira upi alionao kumzidi hendo?
Kwanza naby kukaba tu kwenyewe hajui aisee mtake radhi captain wangu PFA Player of the year
 
Unapokutana na Timu zinapombana for survival mechi huwa ngumu mno.

Sent using Jamii Forums mobile app

Binafsi sioni kama game ilikuwa ngumu.

Ni kwamba tuli relax, kwa sababu baada ya kufungwa goli la pili tulilitafuta goli kama hatuna akili timamu.

Imagine kama tungecheza kwa mwendo ule wa kipindi cha kutafuta magoli ingekuwaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…