Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hendo for Ballon O’dor
Hendo atachukua EPL player of the year
Hendo ananyanyua kwapa la EPL!
Sisi Liverpool HALISI we love you Hendo


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kaka naona utachinja Ng'ombe 30 mwaka huu. Hongereni
 
Sawa

Hiv unajua kua tangu marefa wenu akina WEB wastafu urefa hamjachukua EPL na hamtochukua kwa sasa hesabuni miaka 50[emoji23]
 
Mkuu Keita ni hajakaa sawa ,au umesahau katoka injury juzi tu?? t hiv unafikir kuna kiungo fundi pale LFC kama Keita?

Kitu ambacho unatakiwa kukielewa ni kwamba Keita ni threat ya garasha letu lile. Kwa hiyo ikitokea akawa na game mbovu utasikia kelele zinazopigwa humu.

Ila Keita ni machine, mpira anaujua kwa kufundishwa, uzoefu na kipaji.

Hauzwi kokote, na muda ukifika namba ya Henderson ataichukua.
 
Nakubaliana na ww kabisa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
baada ya ushindi wetu vs hammers tumefikisha mechi ngapi bila kupoteza?

ila mimi kombe tu linatosha, sita huzunika tukikosa rekodi
Kwenye jamii mitazamo lazima itofautiane.

Kila mmoja ana jinsi yake ya kuona na kutafakari jambo.

Binafsi naombea Henderson apone na aendelee kuwa na kiwango alichokienesha since December 2019. Ninamhitaji sana kwenye hii run ya unbeaten 49.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noted and thanks chief...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…