Team mbovu iliyobeba uefa super cup na club world cupLiverfools. The worst champions to be in the history of Epl and football timu yenu ni mbovu haina mvuto maningwa wa ngekewa.
Football analysts wanaojielewa wanasema msimu huu ligi ya uingereza imekua mbovu katika misimu yote tokea ianzishwe and the funny thing a team so called chickens of the city are going to be champions in the worst seasons of the EPL. Hamuoni aibi hata kushangilia ubingwa msimu huu wakati wanaume zenu Manutd na Chelsea, Arsenal tupo kwenye transitional period. Yaani hata ubingwa wenu haunogi in short hauvutii.
Liverfools eti now mnasema Henderson for balon dor hii ngekewa imewafanya mjione mmeyapatia maisha sana.
#chukueni ubingwa ila mabwana zenu ni Manutd the red devils. Mabingwa wa kihistoria ndo sisi NYIE UBINGWA WENU HAUNA MVUTO NI NGEKEWA TU HII TUMEWAPA MAANA MMESOTA SANA .
GHMU
Acha kukata tamaa kijanaKwa uchezaji huu kumfunga Atletico madrid ni ndoto.
Katucost sana leoWaliokuwa wanamtaka Keita mechi ya ATM nadhani wamemuona
Hahahahahahahahah Mkuu wewe uko na hii tu mpaka 4944 Unbeaten run.
Be blessed guys.
Man united imebakia kwenye museums kwa sasa nyumbu fc ni average team nyie mko level sawa na kina south Hampton na crystal palaceLiverfools. The worst champions to be in the history of Epl and football timu yenu ni mbovu haina mvuto maningwa wa ngekewa.
Football analysts wanaojielewa wanasema msimu huu ligi ya uingereza imekua mbovu katika misimu yote tokea ianzishwe and the funny thing a team so called chickens of the city are going to be champions in the worst seasons of the EPL. Hamuoni aibi hata kushangilia ubingwa msimu huu wakati wanaume zenu Manutd na Chelsea, Arsenal tupo kwenye transitional period. Yaani hata ubingwa wenu haunogi in short hauvutii.
Liverfools eti now mnasema Henderson for balon dor hii ngekewa imewafanya mjione mmeyapatia maisha sana.
#chukueni ubingwa ila mabwana zenu ni Manutd the red devils. Mabingwa wa kihistoria ndo sisi NYIE UBINGWA WENU HAUNA MVUTO NI NGEKEWA TU HII TUMEWAPA MAANA MMESOTA SANA .
GHMU
hata last season's away game vs hawa hawa Hammers Keita alitu cost tukaishia kupata draw.
Hahahahahahahahah Mkuu wewe uko na hii tu mpaka 49