Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
You are a hater of henderson period.
Na ameumia nahic unaficha hisia zako za furaha .zimwage tu hadharan tuzione[emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ninao[emoji35]Mkuu ww unaweza ukampinga Klopp akiweka mipango yake ya nani acheze wapi?
Una utaalam huo kwenye soka?
Mkuu huu mualiko naukosaje kwa mfano.....Wewe ulikuwepo hapa mkuu
Sasa wake wale waliokuwa wanatukana team leo hii wao ndiyo wanashangilia kweli kweli!
Hao sio Liverpool ni wachumia tumbo tu wa soka
Hatutawaalika ktk sherehe zetu,maana hao ni Man City
Wanamkimbia leo Mungu-Mtu wao wa soka sababu Klopp kamnyoosha mno
Mkuu Aaron Arsenal karibu kwenye sherehe yetu Dar
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣Ndio ninao[emoji35]
Mkuu usipende makundi nachojua sote n mashabiki Wa lfc sitaki kuamin shabik Wa Liverpool asiitakie timu yake mema
TUWE WAMOJA HAKUNA
MWENYE HATI MILIKI NA
NA HII TIMU HUMU
NDANI
Sent using Jamii Forums mobile app
Angesema malafyale huo upuuzi ungeona watu ambavyo wangejifanya kumkazia humu.Na huyu malafyale yeye amefika Anfield ingawa kuna wajuaji wanaita "kafika occasionally"..Kuna namna Fulani ya kuabudiana inaanza kuonekana humu..kwamba eti kuna vijamaa havipingiki..!!
Mkuu ilikua lazima tufungwe ili kutupa maumivu na kukumbuka kua kuna kufungwa.44th game.
Juzi nilienda na matokeo mfukoni mikalamba za uso.
Leo nabeba mawili mfukoni, liwalo na liwe lazima game ya 44 ihesabike.
His Majesty.! Hero Hero Hero dream come true.Wow forgotten hero Adrian lol... This boy gave us what we couldn't get from useless Simon and Karius...
He deserves a proper shout out end of this season... From being Club less to come and cover for super Alisson without letting us down was a big big step for him..
Most likely he will depart for 1st team regular game time most likely in Spain, indeed its a win win situation we got a proper backup and we have given him a chance to restart his career...
YNWA
Hahaha yaani hawa jamaa wamefungwa mara 1 tu mwaka huu tayali wamerudia issue ya le captain Hendo!!(Useless one)Hv kuna mtu anaongoza kwa kutukanwa pale liver kama henderson hata tukifukua message za zaman kwenye hili jukwaa nadhan yy ndo anaongoza kwa kupondwa na mashabik wake hilo had mashabik wa timu nyingine wanalijua .cha kushangaza ww unasema anapaishwa
"leave the man alone" .ananyanyua kwapa mwez wa 5 achen kelele tushawachoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi Media na baadhi ya Wachambuzi uchwara wanaogaiwa Airtime ndiyo wanaofanya baadhi ya Wachezaji wawe wanachukiwa.
- Ivi Sterling ni kweli average player kiasi ya kwamba hakuna Media ya Kiengereza yeyote inayomuona?
- Kweli anachokifanya Gomez hakionekani pale EPL?
- Kweli KDB anapewa sifa anayostahili? Hivi Media za Kiengereza hazimuoni kwa kile anachokifanya?
Ukweli usiofichika kwasasa KDB ni Ballon D'or contender kama haki itatendeka! Na Obviously ni EPL player of the season.
But cha kushangaza kila Media unayopita unakutana na Picha ya Hendo yenye maneno "He's so close to be a player of the season",..... " Best Midfielder at this current season "..... "He's a complete Midfielder"...... " He carries Liverpool at his own shoulders "..... " Best Captain Ever to lead Liverpool "...... The key of Liverpool's success".....
Yani anapewa sifa zaidi ya uwezo wake.
Mumefanya vibayaTunategemea gemu kumi za mwisho EPL mutafanya vibaya ..huu msimu hamubebi kikombe chochote kile...
huu mkakati lazima utimie..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
MumeshatolewaNa uefa ndo ivyo ..mumeshatolewa..
ATL tutakuja kwa kasi hata draw hamupati ..
Liverpool 1-2 ATL
#UefaOut
Sent using Jamii Forums mobile app
44th game.
Juzi nilienda na matokeo mfukoni mikalamba za uso.
Leo nabeba mawili mfukoni, liwalo na liwe lazima game ya 44 ihesabike.
Leo ni kufa kupona ushindi muhimu kwa ajili ya morali, mashabiki wakipiga shangwe vijana watarudi kwenye morali
Ila hii game leo tunahitaji 1 or 2 goals kwenye first half, tukianza kufungwa ama game ikawa 0-0 up 70mnts basi 3pts zitakuwa shakani