Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu usipanic....hii ndio maana ya kuwepo haya majukwaa,na jukwaa hili sio la kwako peke yako,kama wewe huendi kule kwa nyumbu kaa ujue kina Penison na King Ngwaba wanaendaga kuwatia njaa...so waache nao wapumue ...

Wewe kaa utulie.
Enjoy soccer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni story tu kama zilivyo story zingine tu,hakuna evidence yeyote ya ulichokiandika hapa,mtu yeyote anaweza kujisifia kama ulivyojisifia wewe,acha utoto ongelea soka hasa game la jana,mambo ya Shule peleka huko huko shuleni kwenu.
Aiseeeh kwahiyo kiboko kimoja tu mtu anasema vyote????kweli huyu sio sugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu kufunga n kufungwa ni sehemu ya soccer. Mbona unandika kwa hisia. Kuna mtu kakukataza kutembelea nyuzi zingine?

Tulia na goli moja jipange kupindua matokeo tarehe 11 march


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilichoona ni kuwa team inahitaji midfielder runners kama keita ambaye atakuwa na kazi ya kufanya penetrate mipira na kuvunja ngome ya upinzani hasa team kama atletico. Keira mechi kama zile inabidi apewe muda mrefu wa kucheza..

Ni maoni yangu
Tunahitaji natural number 10 kwenye squad yetu this summer hawa akina Keita or OX ni kama tunacheza kamali tu kwenye hiyo position.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…