Mbona alipigwa na Napoli mkuu....Diego huwa hapaki, huwa anacheza open game, tayari keshatoboa tundu lililoshinda timu kadhaa, records za clean sheets na sijui number of unbeaten games mwisho wake ulikuwa jana, tena mmeweka record mpya tokea vita vya pili vya dunia kwa kumaliza game bila shot on target.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweka 1 mkuu.....Kupata hivi vichekesho tunabonya namba zipi?
Kweli kabisa....hii game ipo wazi mno kwa Liver labda kama wale jamaa watakuwa na addition ya kina Felix na Costa itawabust kidogoHahahaha asante JF angalau vituko haviishi...
Ligi tunasubiri guard of honour...
Liverpool hawajawai kupoteza mtoani UCL chini ya Klopp..
YNWA
Mkuu unataka mahasira yote yaishie kwangu????? Loh,Pona yao ni kutokuja Anfield.
Tukimalizana na hawa tutadili na nyinyi.
Wanayumba... Na sipati picha wakitupwa nje itakuwaje
No shoo on targetWewe una record ninazo zihitaji.
Kwa hiyo ninazitafuta kwa lazima.
Ila jana nimeona power ya UEFA, hiki kikosi kilichocheza ndo hiki hiki kiko unbeaten EPL, lakini eti jana tumefungwa kirahisi sana.
Kabisa hii gemu bado mbichi...Kweli kabisa....hii game ipo wazi mno kwa Liver labda kama wale jamaa watakuwa na addition ya kina Felix na Costa itawabust kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo jana mlipaki basi?Tukipaki Bus tutafungwa, tukishambulia na wao wakishambulia tutawaadhibu 3 bila
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] Vipi mmevunja mwiko?Nilikuwa matokeo kupitia goal live commentator anasema ATM hawajawah kupoteza mchezo ambao. Saul kafunga katka mech 34 wameshnda 32 draw 4 lakn naamin Leo tunavunja huo mwiko
Mungu ibariki Liverpool
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama si shabiki wa team Fulani kwanini unaenda kwenye group lao??
Kama si shabiki wa team Fulani kwanini unaenda kwenye group lao??
Hope umetokea Tanga maana una element zote za kimwambao
Sent using Jamii Forums mobile app