Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_7654.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimeangalia replay, daaah! vijana tunao. Pamoja na Shrewsbury kucheza kazikazi lakini madogo (japo yananizidi ngawila) yamepiga mpira mkubwa sana.
Halafu zile kelele za Anfield haziwapi pressure kabisa.
KEEP IT UP KOPS
 
But hebu weka Player of the Month kutoka August mpaka January ili tuone ameappear mara ngapi then awe Mchezaji wa kwanza katika Historia ya Soccer kuchukua Player of the season without any single player of the Month.

EA Sports Players of the Month 2019/20

August - Pukki
September - Auba
October - Vardy
November - Mane
December - TAA
January - ??
 
Mfalme Ngada atabisha, atakwambia anamtaka Trent

Hao Wazungu wenyewe wanaooendesha Ligi wamemchagua TAA kuwa Ndiye Mchezaji bora wa EPL kwa mwezi wa December! Mimi na wewe ni nani hata tupinge? Kwani huyo unayempa wewe Mchezaji bora wa Msimu Wazungu wanaojuwa mpira hawakumpa hata Mchezaji bora wa mwezi?
 
But hebu weka Player of the Month kutoka August mpaka January ili tuone ameappear mara ngapi then awe Mchezaji wa kwanza katika Historia ya Soccer kuchukua Player of the season without any single player of the Month.

EA Sports Players of the Month 2019/20

August - Pukki
September - Auba
October - Vardy
November - Mane
December - TAA
January - ??
Le capitano
 
hii propaganda tumeshaichoka sasa, mbona wanatumia nguvu nyingi kufanya tuone jamaa ndio kaibeba sana liver mpk ipo hapa???......

hata sielewi agenda yao hasa ni nini! wanataka mashabiki TUMPENDE kwa lazima au? kwan hatumpendi?......

kwangu mimi huyu bwana kwa msimu huu hata kwa tatu bora ya liver hawezi kuwepo, sijui sasa hio mchezaji wa msimu ataipataje!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata 6 Bora hayumo

Ukiona baba analazimisha kuheshimiwa ujue kuna kitu hakiko sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
James Milner, during his winter break, at Anfield supporting the youngsters. The only senior player at the game tonight. Most players are off abroad somewhere, but not Milly. He’d rather be at Anfield supporting the reds. Top professional
IMG-20200205-WA0017.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But hebu weka Player of the Month kutoka August mpaka January ili tuone ameappear mara ngapi then awe Mchezaji wa kwanza katika Historia ya Soccer kuchukua Player of the season without any single player of the Month.

EA Sports Players of the Month 2019/20

August - Pukki
September - Auba
October - Vardy
November - Mane
December - TAA
January - ??
January - Jordan Henderson

Subiri uone....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lazima au? kwan hatumpendi?......

kwangu mimi huyu bwana kwa msimu huu hata kwa tatu bora ya liver hawezi kuwepo, sijui sasa hio mchezaji wa msimu ataipataje!?
emoji1435.png
[emoji1435
emoji1435.png
emoji1435.png

Sent using [URL='http://r.tapatalk.com/byo?rid=776

Mnawataka watu ubaya
mkuu atamzidi Salah,Mane, VVD, ???....... bado hujataja TAA, robo, firmino,.,......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom