Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii ndio rabona cross ya fundi Curtis Jones the youngest ever LFC team captain of the first team.

P2020-02-04-Liverpool_Shrewsbury-51.jpg
 
Kuna kitu muhimu sana leo zaidi ya matokeo, hii Liverpool club ni kama family. Heshima kubwa kwa Liverpool kujaza uwanja na kuwashangalia vijana dakika 90 watu wamekuja zaidi ya alfu 54 huku wakijuwa team gani inacheza hii ni kitu very special ni team chache sana duniani wanaweza kufanya walichofanya mashabiki wa Liverpool. mechi haikuwa weekend lakini big support wanajuwa kuwafanya watoto wapate hamasa. Leo haikuwa kwenda uwanjani kuangali majina bali jina la Liverpool. Respect Liverpool. Kabla mechi haijaanza nilikuwa nashauku kuona watu nilivyoona tu ikawa kama ushindi hata kama tungefungwa. so happy
 
Ni kweli kabisa mkuu, kwakweli hii inafaa sana na inatia shime
Kuna kitu muhimu sana leo zaidi ya matokeo, hii Liverpool club ni kama family. Heshima kubwa kwa Liverpool kujaza uwanja na kuwashangalia vijana dakika 90 watu wamekuja zaidi ya alfu 54 huku wakijuwa team gani inacheza hii ni kitu very special ni team chache sana duniani wanaweza kufanya walichofanya mashabiki wa Liverpool. mechi haikuwa weekend lakini big support wanajuwa kuwafanya watoto wapate hamasa. Leo haikuwa kwenda uwanjani kuangali majina bali jina la Liverpool. Respect Liverpool. Kabla mechi haijaanza nilikuwa nashauku kuona watu nilivyoona tu ikawa kama ushindi hata kama tungefungwa. so happy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Curtis Jones ni mda sasa yafaa awe anapewa nafasi zaidi first team. He's a top lad.
And a scoucer also just like Trent...

Good days ahead..

Him and Grujic next season I see either they get more minutes or loaned though Klopp ain't a big fan of loaning this kids unless the situation demands...

Grujic we ain't in a good position game wise boy stated he wonna 1st team after this loan spell at German.. Quite tricky already the MF is crowded..

Klopp knows better..

YNWA
 
Pedro Chirivella is more talented & composed than Henderson & Lallana combined.


A natural talent.


White Keita.

Sent using Jamii Forums mobile app
Senior to Trent by 1 year and same age with Gomez...

Hopefully Klopp can give the boy a proper extension, while the other academy kids were leaving he choosed to stay and he has gone from better to super better...

Boy has loads of talents... He has been here since 2013 or 2014 joined when he was 16 yrs.. I remember when we got him from Valencia youth team he was touted as the next Xabi Alonso...

Liverpool valued him very highly they even moved his parents from Spain and provided them jobs at Liverpool area to aide the the young boy to be comfortable..

Hopefully Klopp have faith and award this once most sought after kid with space at 1st team and contract extension ...

Pedro though at his age demands 1st team football... He has plans to return to Spain.

We only have Fabby as proper Defensive Midfielder so it's be nice to keep hold of this boy as his natural position is DM.

YNWA
 
Aisee LFC mwaka huu shimo limetema kama Mererani!
Kila wanachofanya kina click.

Hawa watoto ni future generation ya LFC.
Neco Williams, Harvey Elliot, Curtis Jones, Yasser Larouci (ingawa kwa match hajaonekana) hawa wanaweza kupata namba kikosi cha kwanza muda sio mrefu.

Inasikitisha kuona kuna uwezekano wa kumuachia Pedro Chirivella karibuni, dogo siku za karibuni amepiga mpira mwingi sana pale katikati ya dimba.
. Hahahaha mwendo mdundo
 
Sell Lovren, get Konate and promote Hoever.

VVD/Gomez/Matip/Konate & Hoever. (Solid backline)..


Trent + Williams as RBs..


Mould Curtis slowly into the first squad, he's nearly ready. sell Lallana & push Millie at LB, get Grujic in + Curtis in those two vacant positions in the MF.




Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha grandpa Millie only issue akiwa LB ni kwamba his legs to keep the intensity alive..

We also lack those sweet crosses with him but defensely yupo powa we rarely conceded when he played there...

As Robbo cover sio mbaya since he has that contract extention already and moving to LB will free space for the upcoming kids wapate minutes in the MF.

YNWA
 
Liverpool's unbeaten season tournament
NORWICH 4-1
Hanley 7' OG
Salah 19'
vandijk 28'
origi 42'
pukki 64'
SOUTHAMPTON 1-2
mane 45+1'
firmino 71'
D. ings 83'
ARSENAL 3-1
matip 41'
Salah 49'(p)
salah 58'
torreira 85'
BURNLEY 0-3
Wood 33' OG
Manè 37'
firmino 80'

NEWCASTLE 3-1
Willems 7'
Manè 28'
Manè 40'
Salah 72'

CHELSEA 1-2
A-Arnold 14'
firmino 30'
kante

SHEFFIELD UNITED 0-1
wijnaldum 70'

LEICESTER CITY 2-1
Manè 40'
Madison 80'
Milner 90+5'

MANCHESTER UNITED 1-1
rashford 36'
Lallana 85'

TOTTENHAM 2-1
kane1'
Henderson 52'
Salah 75'(p)

ASTON VILLA 1-2
terzguet 21'
Robertson 87'
mane 90+4'

MANCHESTER CITY 3-1
fabinho 6'
Salah 13'
manè 51'
Bernardo 78'

CRYSTAL PALACE 1-2
mane 49'
zaha 82'
firmino 85'

BRIGHTON 2-1
vandijk 18'
vandijk 24'
Dunk 79'

EVERTON 5-2
Origi 6'
shaqiri 17'
Keane 21'
Origi 31'
Manè 45'
Richarlson 45+3
wijnaldum 90'

BOURNEMOUTH 0-3
Chamberlain 35'
keita 44'
Salah 54'

WATFORD 2-0
Salah38' , 90'

LEICESTER CITY 0-4
firmino 31' ,74'
Milner 71' (p)
A-Arnold 78'

WOLVES
manè 42'

SHEFFIELD UNITED 2-0
Salah 4'
manè 64'
TOTTENHAM HOTSPUR 0-1
firmino 37'

MANCHESTER UNITED 2-0
vandijk 14'
Salah 90+3'

WOLVES 1-2
Henderson 8'
jiminez 51'
firmino 84'

WEST HAM 0-2
Salah 35'(p)
chelmbarlain 52'

SOUTHAMPTON 4-0
Chamberlain 47'
Henderson 60'
Salah 71'
Salah 90'

73 points out of 75 points possible
22 points clear at the second place
60 goals scored
15 goals conceded
Still unbeaten
20 league wins at Anfield
50 league matches unbeaten at anfield

Scorers
Salah 14 (3 p)
mane 11
firmino 8
Vandijk 4
Henderson 3, origi 3
A-Arnold 2 , Milner 2(p), Chamberlain 2, wijnaldum 2

Assistants
A-Arnold 10
firmino 7
Robertson 6, manè 6, salah 6
Henderson 5
milner 2
YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom