Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hongereni Mabingwa wa EPL baada ya miaka 30

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro, mimi binafsi nampenda Salah kwa alichokifanya na anachokifanya Liverpool.

Swali rahisi ni moja, kwamba kama ukimwondoa Salah na usinunue mchezaji mwingine kumreplace, utumie waliopo, je tutaikosa top 4?

Lazima tuwemo mkuu
Kabla ya salah tulikuwa na shida ya mabeki na sio striker, salah is world class because of liverpool, vice versa is equal or not true

But kwa jins tulivyo sahv hatutegemei mchezaji moja, tunategemea system, ni kama Enz Ronaldo anaondoka Man U, Man U haikuyumba kwasababu ilikuwa ni system na sii mchezaji, bali mchezaji mzri akikaa kwenye system nzuri ataonekana ni mzri maradufu
 

Sio mkuu, kumbuka salah kaja kakuta tumo champions ligi bila ya vvd nusu msimu, lalana, lovren beki, mignolet golini, na akina moreno
System ndo inayotubeba na kila mchezaji kuwa mkali kwa upande wake


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Kipindi cha akina mane coutinho hakukuwa na top scorer, kila mtu alikuwa mfungaji


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Imagine having Steve and Surez in today's line up..

Surez as our 9 and either wing we have Mane and Salah in there..

Firmino as our 10...

Lol if wishes were horses man...

YNWA

Yawezekana tungekuwa nao wasingekuwa wakali, au gerrad asingekuwa mkali to be clear
System ya Klop ni kupitia pemben na kuplace, ndo maana enz za Lodgers kwa mpira wa kupress SG alikuwa normal
But suarez 85% angefit


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Its just impossible if you think about it


Lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Enzi za Rodgers (2013/14) SG alikuwa na umri gani ili turelate na hiyo kauli ya kuwa alikuwa normal.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…