Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwavile sikuhizi ushindi kwetu si kitu cha ajabu bali ni kawaida tu, Mimi sijafurahi kwasababu leo tumeshinda bali nimefurahi kwasababu Manure wameendelea kupata shida

Hao wakishinda mechi moja tu ,wanaona na ubingwa wanachukua,waendelee hivyo hivyo kupoteza point.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
I salute u huzungukagi mbuyu unatoboaga hapo hapo.
 
Sasa
Sasahivi kawa mkali balaa, ukimkumbushia maneno yake atakwambia wewe sio mtu wa mpira,
Sasa kama kabadilika mnataka aendelee kumponda ili iweje? Hendo asaiv walau kila gemu either ana assist au anascore wakati before alikuwa ni mtu wa kurudisha mipira kwa kipa na mabeki na anamaliza mechi kumi bila hata assist. Kuna ligi humu ya hendo na salah mnaiendekeza bila sababu, tukubaliane tu mchezaji akizingua lazima tukusoe na akipiga kazi tutampongeza pia
 

Kuna watu hapa waliwahi andika Klopp kuchukua EPL hadi Pep aondoke EPL, na waka andika pia Barca na Liverpool wakichanganya kikosi hamna mchezaji yyt wa Liverpool ata anza lkn sasa wanaona aibu na ndiyo hao wana tujazia tu thread yetu kwa maandishi yao senseless marefuuu

Kaka tuwasamehe hatuna muda wa BS zao sisi tuendelee kushangilia EPL yetu

Its coming home’


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa mchezaji anazingua kipindi chote hicho Kloop haoni anaona yeye aliyepo huko biharamulo bukoba?
 

Mm nashangilia EPL yetu ambayo hatukuipata kwa miaka 30
Kaka hayo ya nani zaidi kwangu hayana nafasi,imeshinda Liverpool na wote wana mchango sawa

Jamani utushangilie moment hizi tuache malumbano


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Sina muda wa hayo
Nashangilia ushindi wetu kaka
Hendo is our Captain,best ever!
Period


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mm nashangilia EPL yetu ambayo hatukuipata kwa miaka 30
Kaka hayo ya nani zaidi kwangu hayana nafasi,imeshinda Liverpool na wote wana mchango sawa

Jamani utushangilie moment hizi tuache malumbano


Sent from my iPhone using JamiiForums
I second u my fellow kop tuko pamoja kwa hili.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…