Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Iliyo pita na ya leo amecheza na stats zimemfata zenyewe.kwa sababu hiyo umeona magoli yalivyo mengi leo.
Akiendelea hivi tutapata magoli mengi na huenda akawa mfungaji bara tena

'mtindilo'

Ndo icho nachokisemea
Ukilazimisha unaharibu, ukiwa mpole unatesa miaka yote


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
I love this team

Na huwa hamnielewi navyowaambia naipenda hii team

Aani huwa nawatani wenzangu hospital kuwa nadhani damu yangu kuna leuokocytes mpya nmeziita liverpunias

Zinazunguka [emoji23]zinazunguka

Hafu huwa mnanikera aani mara ooh sijui leo tutatoboa kweli kisa half time tumedraw

Aisee this team ni hatari sijawahi kuwa na shaka nao hata kidogo

Naipenda liverpool aisee

Yaani leo wamenipa burudani nagawa ofa tu hapa kwa ndugu na jamaa [emoji28][emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ilivo ngumu kwa atleti kututoa kutokana na muendelezo wao mbaya...ila creative spark alioleta naby kwenye later stages za second half na faby kumove into advanced positions ni kitu ambacho tunakihitaji...passes. ambazo zinacut through lines keeping the ball in offensive areas just excellent from those two
 
W
Wewe ndio mzigo na roho yako mbaya
 
Safari hii klopp katuprove wrong.hakuna cha December wala January.wachambuzi uchwara wameingia mitini maana Liverpool aikamatiki


Sent from my iPhone using JamiiForums
sio hilo tu tulikuwa tunasajili hata sie kwanini hajanunua flani, siku hizi Klopp hata akitaka kumsajili Pazi humu hakuna ataelalamika atamuaminia tu kama Pazi atakuja kuwa mkali, tehteh! watu walianza oh City inatimu tatu sasa hivi kimya mara oh wachezaji wao wameumia sie wetu ndio hawaumii au? hawawaoni wakiumia kila sababu waseme zote sio hatujali Var sijuiutumbo gani sie tukiona wanalalamika watu ndio furaha kwetu. furaha zao wakitizama Liverpool ni dk 30 au 45 tu, zikizidi 88 ikifika 89-90+ wanatafuta ya kusema.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…