Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu na mimi Sasa hivi naesabia hizo mechi tu zimebaki ngapi, Baada ya mechi ijayo kushinda zinabaki 7, nimwendo wa kuesabia hivyo. Hayo mapoint nitaanza kuesabia Baada ya hizo mechi kufika

Sent from my iPhone using JamiiForums
kwenda Bila kufungwa ni ngumu japo watu wanaiona LFC inaouwezo kufanya walichofanya Arsenal sio kitu rahisi Furaha ya LFC ni kubeba ubingwa hiyo ndio hamu yangu kubwa tukibebwa tukafungwa zote poteleapote muhimu Ubingwa naona siku mbali kweli Mungu nipe uzima hiyo siku niwe hai nakuhaidi nitafanya fujo isiyoumiza 😃😃
 
Jordan Henderson.....hahahahahahahhaa anaenda kumfunika kapten pendwa hapo anfield maana mpaka sasa kashabeba kila kombe ...yule mwingine EPL ilimtoa jasho.

Hahahahahahaha hahahahahaha hahahahahah hahahahahaha

Jordan Kop Hendorson wewe ndio siri ya mafanikio ya KLOPP

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nikikumbuka watu walivyokuwa wanmponda Hendo humu, mie nilikuwa namponda Downing tu na kumtetea Hendo mwisho na mie nikaingia mkumbo wa Kumponda ila anisamehe Captain. ameonyesha uwezo wake ila mwakani wampe Virgil awe Captain kuhusu Hendo nimempa heshima yake Eh Mungu tufikishe May tuone anavyochezesha miguu!!!
 
Henderson ni mashine ya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_7605.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Konki likwidi ni chelsi
Weeee sisi Chelsea hua tunapiga vitu vya bei mbaya atunywi balimi sisi kama nini wa Liverpool, tena msimu huu ndo walevi wengi wameongezeka mkibeba ubingwa itasababisha maafa makubwa maana mutaishia kulewa kwa furaha alafu mutaanguka mutakufa

Ni bora musibebe ligi ili kuokoa maisha ya fans wengi..

#CFC

Inamaana hadi leo huamini kama liver ni bingwa? Hivi unahisi ni timu gani inaweza kushindana na liver kwenye ubingwa?
 
Hivi ichi kirusi cha Corona ci kiingie tu apo Uingereza ili ligi isimame Liverpool asibebe...aaargh yani nagadhibika apa kuona bado akijaingia...

Ila bado mapambano yanaendelea ..na tutahakikisha ligi haiendi mjini Liverpool..

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
Mara Trump akianzishe na Ali Khamenei sasa mmehamia kwa Coronavirus yaani huu ubingwa mzee wa Kaskazini hauzuiliki kutuma Anfield...

YNWA
 
Jürgen Klopp has dismissed suggestions Mohamed Salah could be set for an uncertain summer, insisting the Liverpool star is happily settled on Merseyside.
Asked if he thought Salah would still be here for the start of next season, he said: “I would think so, did you hear something different?
“How can you see the hunger to stay at Liverpool? It looks to me like he is really settled to be honest.”
daaamn-20200119-0001_1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom