So Salah ametengeneza career yake at LFC kwasababu ya Pace?Thats what you see as he’s already good in yur mind
Myb asingekuwepo gem ingisha mapema
Nowdays anafanya maamuz ya kijinge sema it seams hakuna sub yake ya maana, na kama huoni anayofanya si mazuri uku kila mtu anaona including pundits na wengine mashabiki wakubwa wa liver, then we ndo uko wrong,
He’s driven by his place at liverpool and he’s forcing to be the main man, thats the problem, na tuliocheza mpira tunajua kwenye mpira ukiforce sana perfection ndo mpira unakukataa, ndo maana nilkuwa namkubali sana Van Perse
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mane's importance kwenye team ni kama ya Salah & Bobby..Akiondoka Mane ndo itakuwa pigo
Kuna mechi salah hajacheza tunapata magoli mengi sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
I understand you brother..Inasikitisha ni kweli labda Mo hakuwa na best game lakini amecheza vizuri na ni sehemu kubwa ya team sana leo hii Liverpool tuko hapa toka amejiunga na sisi hata hao tunaosema kina Lallana, Oxy, Shaqiri na Origi wamechangia sana leo kuwa katika nafasi hii na uhakika Klop hawezi kuvumulia ujinga wa mchezaji yoyote ni kwamba wote anaowapanga anaamini ndio best kwa wakati huu. Siku ukiona Salah kaanza nje utaona umuhimu wake mimi naamini kabisa wote muhimu hata Gomez kuna kipindi tulianza kumtilia mashaka leo kasimama kina Matip na hata Lovren sehemu kubwa ya mafanikio yetu. jamani wolves ni team nzuri sana lakini tumewapiga kote sio jambo dogo.
So Salah ametengeneza career yake at LFC kwasababu ya Pace?
And if you really played Football, hilo swali la kwanza nisingekuuliza kwasababu hiyo take isingekuwepo kwenye post yako..
Sent using Jamii Forums mobile app
Are you even using your brain brother?Traore aswap na Salah
Sent from my iPhone using JamiiForums
His goal against Wolves, inamaana kuwa amefunga goal zaidi ya MOJA in a season tangu 2015/16 season (4 straight years)..Mostly huwa anacheza vizr
Nilikuwa namfatilia sana
Sema recently kawa envolved na goals ndo maana wengi wanamuona but we kama ni mtu wa mpira unaangalia majukum kama anayatenda vzr
Enz za zidane au viera kufunga na kuassist haikuonesha umahili wa mchezaji ndo maana akina ronaldino au Zidane ni wa kawaida kwenye stats though ye ndo alikuwa anaibeba tim
Ndo maana wengine humu wanamsifia Salah japo anazingua
Wachambuzi wa sikuiz kosa 11 funga moja watakuelewa, ila ukisaidia timu sana bila kufunga hawakuelewi
Pia jana Mane katoa pande zuri sana kwa salah salah hajafunga mane hapewi sifa unlike kama salah angefunga
Inshort wachambuzi wa kisasa magumashi mengi na wamebase kwenye stats than anything
Sent from my iPhone using JamiiForums
Traore, nimeambiwa.
With Afcon back in Jan 2021 I can foresee a very busy summer for Klopp and his scouting department...Shaqiri will leave in the summer..
Seems, Lallana/Dejan & Clyne will leave too..
Get Grujic back, then sign Werner, a young CB and one of Aouar/Havertz and we're sorted for the future..
Neco Williams should be introduced as Trent's backup..
And, buy a young LB or stick Millie as backup to Robertson..
Can see Mane/Salah wakiondoka kama offer kubwa ikija...but ngoja tuone itakuwaje Summer..
Sent using Jamii Forums mobile app
So VVD/Alisson/Faby/Keita/Salah/Mane wakiondoka LFC wataflop?Wachezaj ni wakali kutokana na mfumo wa kocha
Naamin kiwango cha wachezaj ni kutokana na mfumo alioujenga Klop
Ndo maana wachezaj wote walioondoka hawaonekani makali yao kivile
Sent from my iPhone using JamiiForums
Salah anataka sifa gani?Nipo upande wakoHaiwezekani mtu atake sifa kwa huribu matokeo ya team asilaumiwe kisa alifanya mazuri? Ubinafsi wake akaufanyie bechi huko mbona tulikua tunamponda Hendo kwa kurudisha mipira nyuma? Huo ustaa wake wakubahatisha asitake kuufosi akatuharibia tim.
Tumecheza mechi kadhaa bila Salah tukawa vizuri sana tu kwa maana nafasi yake inazibika.
Tulikua na hali ngumu sana jana baada ya kutoka Mane hilo ndo pengo sasa sio Salah
Salah anazingua sana tu hata mechi Man u kazingua sana wala simpi sifa kwa lile goli akiwa kaharibu nafasi kibao za magoli.
TEAM KWANZA MCHEZAJI BAADAE
'mtindilo'
So Shaqiri is better than Salah?Shaqili anacheza ki team zaida ya Salah
Hata hivyo usitegemee atabaki na uwezo milele mbadala ni muhimu tu
Kulikua na mtu anaitwa Torres
'mtindilo'
Muache Captain wangu man..Mwanzo alkuwa kahadalika na sifa za Echo walizokuwa wakimmwagia.
Hamna anayemuweka bench Hendo manYes, hilo lilikuwa tatizo kwake.
Sasa hivi kwa competence ya wachezaji waliopo, akizingua hawatamtetea, atakaa benchi.
Salah will have those nights when at times things seems to go the other way but one thing is that will never put him down nor belittle his spirits, he will keep on trying and trying that what Klopp demands of this Pharaoh...So Salah is not allowed to take players on?
Sijawah kuona Salah akifanya blunder kama ya Diogo Jota dk ya 80, he could've played Traore on, but he went for the goal..
Salah angefanya hivyo sijui igekuwaje kwenye forum Aisee???
Sent using Jamii Forums mobile app
Man, he's not even important than Henderson.Bwana we, Firmino ni mtu. Ona alivyoenda kuugusa kwa kuzuga ule mpira kwa kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
League was done since november..man city next 12 games
1.man city vs fulham- fa
2.man city vs man utd - carabao
3.tottenham vs man city
4.man city vs westham
5.leicester vs man city
6.real madrid vs man city - uefa
7.man city vs arsenal
8.man utd vs man city
9.man city vs burnley
10.man city vs real madrid - uefa
11.chelsea vs man city
12.man city vs liverpool.
liverpool next 12 games
1.shrewsbury vs liverpool - fa
2.westham vs liverpool
3.liverpool vs southampton
4.norwich vs liverpool
5.atletico madrid vs liverpool - uefa
6.liverpool vs westham
7.watford vs liverpool
8.liverpool vs bournemouth
9.liverpool vs atletico madrid - uefa
10.everton vs liverpool
11.liverpool vs crystal palace.
12.man city vs liverpool
mtazamo wangu, timo aletwe haraka, ile front 3 yetu inahitaji damu mpya 2 za kutusogeza mbele......Wont mind at all kama Salah akiuzwa, but who should replace him??
Sent using Jamii Forums mobile app
What more can you demand from this player?mkuu uko sahihi sio utamaduni wa liver fans kumnanga mchezaji wao, lkn pia naelewa kwann baadhi wako (tupo) hivyo......
wakat huu fans wanademand the most from our players, standard inavyopanda ndivyo na standard za critics zinavyopanda!.....
lkn pia tuvumiliane tu, ni wakati wetu wa mafanikio wacha watu wateme nyongo baadae mambo yatakua sawa!
Sent using Jamii Forums mobile app
nothing,......... ametusaidia sana!What more can you demand from this player?
View attachment 1334411
Sent using Jamii Forums mobile app