Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa iyo for the past four years according to you hendo has been shit
Did you ever for once ask your self why Jk amemtumia constantly for the four years He's been the manager?
 
Issue ya Salah, kukosa magoli tuione Kama issue ya timu si yake peke yake, you can't be good all the time
Me kinachonishangaza, iv anapokua na mpira huwa hawaoni wenzake wanapokua kwenye position nzuri za kufunga!!!
Lakini pia kwa nini hajirekebishi?!! Au hizi lawama za mashabiki hazisikii. Lakini mbona Mane mara moja kamind uwanjani, hakumuona?!!
Kwa kiwango alichonacho Salah kama si ubinafsi tungekuwa tunashinda magoli mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini hautaki tumkosoe salah

Kama tulimkosoa hendo why not salah

Kwa nini mkuu

Namu appreciate salah

Lakini wewe huoni tatizo au umeamua ukae kimya tu ubishe mkuu ama [emoji18][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sidhan kama umesoma na kuelewa nilichoandika


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Ko. Kichwan mwako umekaa ukiamin Salah hana makosa
Sikuzote nasema we ni mfano mzr wa mtu asiesoma mchezo bali unafatilia stats
Nilikusoma vzr sana tangu unamcritisize Hendo kisa hana stats unazotaka, sikuhiz stats zimeanza kujionesha unasema kabadirika[emoji3][emoji3][emoji3], anyways na huwez mcritisize Salah maana ata aboronge kiaje stats za apa na pale atapata japo atazingua sana(foward in top team lazima apate)
Anyways mi na wewe hatuwez kubishana maana ni kama kutwanga maji kwenye mtungi, mimi na ww sikira zetu ziko mbali sana na tukibishana hatutafikia muhafaka,

Sisemi fikira zako ni mbaya, hamna, bali tukibishana ni kama vile Muislam na Mkristo wakibishana




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sometimes tunashangaza kwa marumbano yasiyo na hoja zenye shida, timu inashinda kila siku, na timu inawachezaji wengi na karibia wote ni wa muhimu, hakuna mtu ambaye hataki kufunga magoli, hata Becker naye ataka kufunga sema kwa sababu yeye huwa anakaa mbali tu na goli la wapinzani, tusikariri kwamba ushindi wa muhimu lazima kila mechi afunge Salah, Mane, au Firmino, mm kwangu cha muhimu ni matokeo ya ushindi na kupata points 3, afunge mchezaji yo yote cha msingi matokeo yapatikane. Tuachane na mambo yasiyo na tija sana katika umoja wetu. Kuna kauli wakati Fergusson akiwa bado kocha aliwahi kuwajibu watu waliomuuliza kwann timu haichezi mpira mzuri na kupiga pasi nyingi za uhakika, aliwaambia tu ya kwamba inakuwa ni ujinga na upuuzi mkubwa sana kupiga mpira mwingi, pasi nyingi halafu hamfungi mnaishia kufungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Traore mnayemsifia ana uwezo gani wa kutafuta magoli ya kupatia timu matokeo ya muhimu pale inahitajika zaidi ya kutumia maguvu na kukimbizana uwanjani? Hivi watu wanasahau kwamba hata goli la pili juzi 60% ni kazi kubwa sana aliyoifanya Salah kabla ya kutoa pasi kwa Hendo then kwa Firmino ndo tukafunga goli la pili, so kama ni mgawanyo wa asilimia goli la pili dhidi ya Wolves, Salah 60%, Hendo 5% na Firmino 35% Jumla 100% Nyavu zikatikisika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kwangu cha muhimu ni matokeo kwa sasa, hayo mengine sijui kafunga fulani na fulani hajafunga siyo sehemu yangu kabisa, mwaka jana tulikuwa twafunga magoli mengi tu na huyo Salah alifunga ya kutosha tu, lakini tulipokwamia ni Mungu mwenyewe anajua, akina Aguero hawakufunga sana lakini wakanyanyua makwapa, sasa hivi akina Salah na mane hawafungi sana, Akina Aguero wanafunga kila mechi lakini timu yao inazidiwa points 16 na mchezo mmoja mkononi ambayo sasa ni sawa na points 19. Mimi nataka magoli ya ushindi hata kama ni moja na haijalishi kafunga nani. Hata akifunga Becker la ushindi kwangu mm liverpool imeshinda na imechukua points 3 muhimu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika vizuri na sahihi. Lengo points 3. Mimi kafunga nani wala sina habari hio. Salah ni mchezaji mzuri na muhimu na kutokuwepo kwake uwanjani si habari njema kwangu. ila mimi binafsi ananiweka roho juu. Km umeangalia game ya juzi na wolves, ivi kutompa mpira Minamino ilikuwa sawa? Akalazimisha kufunga sehemu ambayo kiuhalisia si rahisi kufunga.
Shida ya Salah ni selfish tu hakuna kingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa iyo for the past four years according to you hendo has been shit
Did you ever for once ask your self why Jk amemtumia constantly for the four years He's been the manager?

Coz Klopp hakuwa na Mbadala wake, hili pia linahitaji Debate? Haina haja ya kutaja majina lakini wewe mwenyewe kaa ukumbuke Midfielders wote waliokuepo Liverpool miaka 4 iliyopita then utapata Conclusion.

Hata Karius tulimtumia Msimu mzima kwa kukosa mbadala wake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…