Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Umeshawai kumsikia popote kwenye media klopp ana criticise mo Salah??
Na kama huwaamini Traditional pundits wa nchi yako hao kina carragher wa sky sports ulishaona wanatoa such kind of critics?
 
Umeshawai kumsikia popote kwenye media klopp ana criticise mo Salah??
Na kama huwaamini Traditional pundits wa nchi yako hao kina carragher wa sky sports ulishaona wanatoa such kind of critics?

Kocha yoyote mwenye akili hawezi kucritisize mtu
Huwez ona Klop anacritisize mtu yoyote


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Wewe Jamaa niliwahi kukwambia unashida, na leo nakwambia tena unashida brother.

Nadhani kwenye huu Uzi ni wewe pekee u ayeamini kuwa akiwepo mchezaji Flani unaweza kushinda au usishinde.

Hivi kuna Mchezaji Duniani anayefikia hata nusu ya ubora wa Messi?

- Je hakuna game ambazo Messi anacheza na Barcelona ikafungwa?
- Je hakuna mechi ambazo Messi hajacheza na Barcelona ikashinda?
Je umewahi kuchagua games hizo za Barcelona na ukasema Barcelona ikiwa haina Messi ndiyo inashinda?

Mbona tumecheza na Manure bila ya Salah tukatoka Sare lakini alipokuwepo Salah tumewafunga 2 - 0 hilo hujalitolea mfano?

Yani leo ni zaidi ya Mara ya 5 umekomalia hizo mechi 2 vs Barcelona na Everton utadhani ndiyo mechi pekee Liverpool walizocheza.

Hapa tulikuwa tukimponda Henderson lakini hatukuwahi kusema kuwa Asipocheza Henderson ndiyo tunashinda au Akicheza yeye tunafungwa! Acha hizo brother! Mlaumu tu mchezaji lakini hiyo kusema angecheza mechi Flani tusingeshinda hayo siyo maneno ya Kimpira kabisa.

EPL tumecheza michezo 23 na mchezo mmoja ambao hakucheza ndiyo tumetoa sare je kuna aliyelizungumzia hilo? Coz ni useless stat.

Badilika Brother sasahivi kila Mtu yupo positive na Timu.

Sasa Wewe endelea kuamini kuwa Akicheza Salah hatushindi kwasababu alikosa mechi na Barcelona huenda ikawa kwenye Champion League ndiyo mechi pekee hiyo tuliyocheza na kubeba ubingwa.
 

Namuonea huruma Man City
 
Kocha yoyote mwenye akili hawezi kucritisize mtu
Huwez ona Klop anacritisize mtu yoyote


Sent from my iPhone using JamiiForums
Na Gallagher nae umeshamsikia ?
Tajiri unazingua inabidi kukubali tuu hakuna sababu ya Mo kuondoka hivi punde ila amini hawezi kuwa na klabu daima na hapo ndo furaha yenu itakamilika
 
Kwisha habari yao Manchester city kwishnei.
 
Mkuu, tatizo la Salah ni ubinafsi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salute you man all the best man what's a chance to learn more about this game on a professional level and one of the most modern place...

Sky is the limit once you set ua goals kaka who knows you might be a lieutenant at Liverpool probably working at in Ian Graham office...

Well personally am not getting carried away with Henderson form or whatever, he has been shit for the past 4 seasons and yet he could not raise his standards till now...

Class is permanent and form is temporary but surely his form can't be temporary for all this below par seasons he has given us...

Even the pundits lacked proper words to nail his major contribution on the filed and many pointed to how good a leader he is at the dressing room bla bla...

Now his performance is raising eyebrows here and there for something he was supposed to be doing week in week out...

Was Hendo ever serious before I mean did he store this in his locker just to unleash now that the 19th is getting near and near...

Klopp change of set up is favoring him after Fabby injury.. He has bought so well to what the gaffer expect him to excute...

I might be the last person to get convinced by this form we are seeing now.. We have waited for this since time in memorial..

Salah haha he made fans panic jana otherwise we are good... Its one of those nights man...

Our Liverpool thread is getting bigger and busy, I salute those who holla to check us.. Things have changed zamani ilikua Manchester United lol nowadays imekua worse than where we were last 10yrears.. Wakati ni wetu.....

YNWA
 
Talk the talk buddah
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…