Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Mkuu anacheza Norwich...
Ni Midfield wa kushoto, katikati ama mido mshambuliaji huko kote anacheza vyema Sana...
Klopp hopefully atamtupia jicho June 2020..
YNWA
Hahahaha Lallana is worst signing ever ukiachana na Balotelli...Kama hao tunaowengi, Grujic, Cutis Jones, Harry Wilson, huyo hawezi kuwa upgrade hata ya Lallana.
Hata Milner akienda Midtable Team unaweza muona ni KDB au humkumbuki Xhaqiri?
Mkuu jitahidi uangalie angalau gemu kadhaa za Norwich utamuona....
jirani zetu wa hapa north-west kuna habari gani?
nasikia jana usiku kuna bundi katua kwao na sasa wanadai kichwa cha yule Masai wa Norway?
huyo wilson klopp alishasema hana wasiwasi na ability yake ya kupiga mashuti na free kicks kilicho mfanya atolewe kwa mkopo niku improve maeneo mengine ya kiuchezaji kitu ambacho bado naona hajapata nafas zaid kukifanyia kazi...Kama hao tunaowengi, Grujic, Cutis Jones, Harry Wilson, huyo hawezi kuwa upgrade hata ya Lallana.
Hata Milner akienda Midtable Team unaweza muona ni KDB au humkumbuki Xhaqiri?
[emoji3][emoji23][emoji23]Munastahili kuachwa mushangilie mtakavyo...
Huu ni zaidi ya uvumilivuView attachment 1331372
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisikia klopp anaandaliwa £170mnina uhakika liver watafanya usajili mkubwa dirisha la june...... hii timu inahitaji kuishtua tena, wameshapeak saiz...
werner itakua addition nzuri, kwa kuanzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Vichwa lazima viwaume, watuletee watu watakao sogeza siku hawo wanyama wawil wasipo kuwepo..Kwa sasa abakie alipo japo hawa ma fowadi wetu wanakosa magoli mengi....
Ishu kuu ni yajayo mwaka 2021 main threat wetu Salah na Mane wakienda AFCON...
Hapo ndio Klopp na jopo lake waanza kazi mapema kujua tuta survive vipi...
Takumi ni mwanzo mzuri..
YNWA
Ushindi wa leo utafanya zibakie game 9 tuu ili tutawazwe mabingwa wapya wa EPL 2019/ 2020ratiba ya City kuanzia februari iko tight sana. kuna leicester, real madrid, chelsea, arsenal madrid tena(UCL) kuna FA na tarehe zipo karibu tofauti na ratiba ya Liverpool.
hadi march katikati harufu ya ubingwa iakuwa tayari .
Mkuu hao jamaa kuwakosa na bila kua na mbadala wa uhakika tumekwisha...Vichwa lazima viwaume, watuletee watu watakao sogeza siku hawo wanyama wawil wasipo kuwepo..
akiuzwa shaqir basi grujic anatakiwa awepo tu.... sema kuna jones nae anatala nafasiKuhusu Grujic naona kama anaweza kupugwa bei..ndoto yake kubwa nikucheza kikos cha kwanza cha liverpool, kulikuwa na tetes kwamba ndio angeziba pengo la milner, chaajabu milner kaongezewa mkataba, nae kachoka kutolewa kwa mkopo, namuona akipigwa bei au kupewa msimu mwengine mmoja wakuonyesha potential yake..
kwangu leo ndio mechi ngumu iliyobakiUshindi wa leo utafanya zibakie game 9 tuu ili tutawazwe mabingwa wapya wa EPL 2019/ 2020
kweli tupu. note: City akiendelea kupoteza mechi na reds tukashinda idadi ya mechi za kuthibitisha ubingwa zinapungua.Ushindi wa leo utafanya zibakie game 9 tuu ili tutawazwe mabingwa wapya wa EPL 2019/ 2020
kweli tupu. note: City akiendelea kupoteza mechi na reds tukashinda idadi ya mechi za kuthibitisha ubingwa zinapungua.
this time around ubingwa ni wa the reds.
Dah maguire ni kama Titus Bramble tukila wakimtizama Evans then wakajitizama na Maguire wanalia!!!!