Vp mmewafanya ninKitu tinaomfanya Arsenal uku tutawafanya ninyi Mara mbili...
This is Chelsea..
Timu ya baba timu ya mama timu ya babu timu ya bibi x2[emoji3][emoji3] .
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Timo Werner bwana ni mtihani kwanza kwa sasa anauzwa £51m na kama ujuavyo ujeremani hua wachezaji wao wazuri wanapenda wabakie pale pale hivyo chagua lake ndani ya German ni Bavaria na nje akiamua kutoka nje ni Liverpool endapo tutafika hio bei...Timo atue Anfield kuziba pengo la January 2021 akina Mane wakienda AFCON
Sent using Jamii Forums mobile app
ratiba ya City kuanzia februari iko tight sana. kuna leicester, real madrid, chelsea, arsenal madrid tena(UCL) kuna FA na tarehe zipo karibu tofauti na ratiba ya Liverpool.
mzee draw imekufikaKitu tinaomfanya Arsenal uku tutawafanya ninyi Mara mbili...
This is Chelsea..
Timu ya baba timu ya mama timu ya babu timu ya bibi x2[emoji3][emoji3] .
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna ubishi . big man.
Arsenal imekuwaje mkuu?
Ila sijui coutinho akiiona Liverpool anajisikiaje....Funzo tosha kwa wachezaji waliokariri Madrid na Barcelona ndo kuna mafanikio.
Sidhani kama umeelewa point yangu hapo juu.VVD angebaki alikokuwa asingepokea tuzo aliyopata, same kwa Mo Salah na Mane,
Sasa mfano mzuri Alli Bakari,.daadeki, Huyu mwamba angebaki Roma hakuna ambaye angejua hata hilo jina la ALLY BAKARI [emoji41],
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa sasahivi hizo team ni za kawaida tu...Ila sijui coutinho akiiona Liverpool anajisikiaje....Funzo tosha kwa wachezaji waliokariri Madrid na Barcelona ndo kuna mafanikio.
Ni kweli hazitishi kwa sasa