Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hem jiuli
Nimecheka hapo kwenye washindani wake ,

Ila hii tuzo ilikuwa ya TAA kabisa
Hem jiulize na wewe nini kimempa hii tuzo?ni ile asist ya man city au ya Bonomuth au uwepo wake tu uwanjani imetosha kumpa tuzo?

Hivi jamani kwanini hamtuelimishi sie tusiojua mpira tukajua majukum ya Hendo na anavyo tekeleza?
Kiukweli mechi zote nilizo angalia Hendo akiwa nje team hua inachangamka zaidi katikati kuliko anapo kwepo labda mnifundishe namna ya kutazama mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huwezi kujua majukumu yake, in short hayajulikani na hayaelezeki.
 
Hapana hawez kumuweka bench VVD , bas hata Gomez ?

Mkuu huyo gomez ndio wamoto kwa Sasa kwenye mechi 10 mashindano yote aliyocheza (zilizopita) tumefungwa goli 1 tu,epl hapo mechi 6 mfululizo hatuja ruhusu hata goli moja ,hayo yote Baada ya gomez kurudi.wanaofatilia mpira mkuu kwenye gomez hakuna ubishi,hao man u kelele tu za mashabiki na kujisifia kwakuwa wapo wengi lakini hawana timu hao. Wamebakiza jina tu hao ,wanaishi kwa mazoea tu Sasa ,mpira unachezwa uwanjiani watu wanaona.gomez ni kisiki kwa sasa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nafatilia sana , Gomez yupo moto sana kwa sasa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…