hahahahahhaFanya hivyo mkuu kwa sasa ni raha tu ni matusi kabisa eti kugawana dak kati ya mechi ya liverpool halafu pembeni kuna manure au aseno
Sent using Jamii Forums mobile app
Fabinho, Matip, Shaqiri all completed full session with LFC in intense training session today, will be available for the weekend. Lovren did a tailored session alone.
Milner and Keita due to resume rehab outside later in week and could return to training next week if all well. (David Maddock).
Mimi hamnaga kitu sipendi kama huo ujinga. Bora ninunue tu bundle ni stream nikiwa ghetto.hahahahahha
Hiyo ya kugawana dakika Kumbe iko kila sehemu maana hadi kibanda umiza nachohudhuria mimi tunagawanaga dakika na Chelsea, Arsenal, Man U
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahha
Hiyo ya kugawana dakika Kumbe iko kila sehemu maana hadi kibanda umiza nachohudhuria mimi tunagawanaga dakika na Chelsea, Arsenal, Man U
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal's head of sport medicines Gary anakuja Lfc kuchukua nafas ya head of medical ya Massey
Massey anaenda FIFA, march hii
Atlast, maana Arsenal wamembembeleza sana jamaa abaki naona imeshindikana.
Jamaa atasimamia vizuri injuries za timu yetu kweli?
hawo asenali wenyewe wana majeruhi balahaKumekuwa na concern kuhusu ufanisi wa kambi ya matibabu, tumekuwa na recurring injuries na hazina specific timeline. Probably atakuwa mzuri sana.
Kumtoa mtu ambaye yuko kazini tena timu kubwa kama Arsenal lazima assessment imefanyika vya kutosha, imagine.
Pep analia mpk leo ile kitu walimfanyia kwenye CL......... nadhan pale city walielewa kwann usiku wa uefa Anfield huwa ni habari nyingine!View attachment 1324494
Wahuni wanataka kumalizia game nje wa uwanja. Wachezaji wakiingia uwanjani wanakuwa washaingia baridi ni kusokomezewa magoli tu [emoji23][emoji23][emoji23]
usajili wa huyu mwamba na vvd ingekua ni karata tungesema klop amepata majoker yote mawili..........
Vipi Samara na Msuva wakigoma kuichezea Taifa Stars mechi za kimataifa utafurahi?Siyo lazima waje kuna mwaka matip aliwagomea Cameron, ratiba za caf sometimes ni za kishenzi sana, kwann wasipeleke June na July
Sent using Jamii Forums mobile app
Offer unapewa siku 7 then wanakata.Hawa jamaa DSTV ujue kuna muda siwaelewi. Huwa nalipa kile kifurushi cha 19,000 na 203 naipata ila wana i block kabla hata kifurushi hakijaisha?
Vipi Samara na Msuva wakigoma kuichezea Taifa Stars mechi za kimataifa utafurahi?
Offer unapewa siku 7 then wanakata.
Lipia tshs 44,000/ utazame siku 30.
Game ya J2 dhidi ya ManU imethibitika Rashford hawezi kucheza. Ameumia mechi na Wolves FA.
Tunajipigia tu.
Jamaa atasimamia vizuri injuries za timu yetu kweli?