Cha chuga hakikufai mkuu, yaani katika game 17 zilizobaki liver ashindwe kushinda game 10? Unakichaa wewePoint 100?????
Kichekesho mkuu...
Nyie hata 90 hamtoboi...
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha chuga hakikufai mkuu, yaani katika game 17 zilizobaki liver ashindwe kushinda game 10? Unakichaa wewePoint 100?????
Kichekesho mkuu...
Nyie hata 90 hamtoboi...
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha chuga hakikufai mkuu, yaani katika game 17 zilizobaki liver ashindwe kushinda game 10? Unakichaa wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa iv itabid niwe siriyazi.Wewe ni kichekesho kwetu, mimi binafsi huwa post zako nimezi-classify kama comedy.
Kiki ya nin ..kiki nipeleke wapi?Naona unatafuta Kiki Kwa pikipiki
Kwani kuna kinachoshindikana? Unaeza shangaa uka draw zote..Cha chuga hakikufai mkuu, yaani katika game 17 zilizobaki liver ashindwe kushinda game 10? Unakichaa wewe
Chizi tena aise daa[emoji3][emoji3][emoji3]Kumbe chizi ollachuga oc alikatisha humu ndani, daaaaaah [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
KwikwikwikwiiiiKwani kuna kinachoshindikana? Unaeza shangaa uka draw zote..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaleta ki hallluuufuu halluuufu haluufuKumbe chizi ollachuga oc alikatisha humu ndani, daaaaaah [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa iv itabid niwe siriyazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salah alishakuwa superstar kitambo tu...hata Mane uko kwako Kila mtu alimjua..
Maisha ya mpira sio ya kuwa siriyaz sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Siyo rahisi, sema wasiokuelewa huwa wanakumind kinoma.
Kumbe chizi ollachuga oc alikatisha humu ndani, daaaaaah [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya mpira sio ya kuwa siriyaz sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nazinguaga tu..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa kabisa mkuu...Mimi binafsi nakuelewa sana, utani kwenye sports ni kawaida. Sema sasa wewe kuna muda mtu kama hajakufahamu anaona unazingua sana.
Poa, na chelsea akashinda zote na kubeba ndooKwani kuna kinachoshindikana? Unaeza shangaa uka draw zote..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app