Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_7420.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Liverpool have
1. One of the best GK’s in the world
2. Best CB in the world
3. Best RB in the world
4. Best LB in the world
5. Best CDM in the world
6. Best CF in the world
7. Two of the best wingers in the world
8. Best manager in the world.

Appreciate it.
it makes the best squad in the world..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa bwana ngoja tutaona kama mutafanikiwa.

Kila la kheri..

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa tumebakisha robo tu ya safari na dalili ni kwamba tutatoka salama salmini...

Nyota njema huonekana asubuhi...

Nyota yetu ishang'aa hapa ni vipigo tunatembeza...

Pambana uweke mzizi Big four kwanza uwe na uhakika wa kucheza UCL msimu ujao..

Haya ya EPL mpo mbali mno mjipange Kwa msimu mpya 2020-2021...

YNWA
 
Point 100?????

Kichekesho mkuu...

Nyie hata 90 hamtoboi...

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Mkuu tumepata 97 na kumaliza nafasi ya pili hivyo hio 90 unaosema ni ipi lakini pia kua bingwa Wa Uingereza kwetu ni muhimu kuliko kuwaza hayo ya ma pointi mengi mengi..

Hata tukiishia pointi 89 na ubingwa kibindoni ni sawa kabisa...

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom