Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahaha Mkuu Kwa sasa kuingia humu kunahitaji ukomavu wa Ollachuga Oc maana yeye mpaka sasa haamini barabara jiji la Anfield zinawekwa sawa kupokea mashabiki na watalii wa michezo lukuki kushuhudia Klopp na vijana wake wakiwa Lori za wazi kutembeza mtaa Kwa mtaa kombe letu la 19 EPL...
EPL ya 19 em acha utani bwana, nikumbusheni kama muna EPL ata moja..

Nyie muna yale makombe yanaitwa league division one cjui two uko ..kipind io kipa akidaka mpira unamunyang'anya afu unafunga..

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Congrats ulichagua vyema sana kushabikia hii Timu sasa unaishi kwa raha kama zote huku unatembea kifua mbele...

Hongera pia kubakia Liverpool wapo wengi wametukimbia baada ya kuona kila mwaka tunasogea kulidaka kombe mwishowe linaponyoka na tulikua msimu unaofuata hata Big four hatuipati huku wachezaji wetu wakidai kuondoka ama kuuzwa...sasa tangu aje Klopp mambo yamebadilika sana mission yake kuu ni EPL taji la 19 lakini humo humo tumeambulia makombe matatu makubwa mno huku baba lao EPL ikija nyumbani Mei 2020...

Once a Red at Heart always a Red...


YNWA
Mimi ningekuwa fan wa Liverpool kwakwel ningejuta sana..

Proudly Chelsea die fan..

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EPL ya 19 em acha utani bwana, nikumbusheni kama muna EPL ata moja..

Nyie muna yale makombe yanaitwa league division one cjui two uko ..kipind io kipa akidaka mpira unamunyang'anya afu unafunga..

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app

Hayo division one Mkuu nyie Chelsea mnayo mangapi...

Kwa hio wenye ligi yao Waingereza wanakosea kusema rekodi anaishikilia Manchester United mara 20 tukifuata sisi mara 18...

Hayo majina kubadilika yasikutishe Mkuu hivi karibuni ilikua inaitwa Barclays P L na sasa EPL usishangae tukishaichukua Wa kabadili tena jina.. Kwa ufupi wewe jua ni taji la ligi namba moja Uingereza...

Kwanza wapindue Aston Villa, Arsenal, Sunderland ndio uongelee haya mambo..

Number of Premier League titles* won from 1889 to 2019, by club


Manchester United > 20
Liverpool FC > 18
Arsenal FC >13
Everton FC > 9
Aston Villa > 7
Sunderland AFC > 6
Chelsea FC > 6
Manchester City > 6
Newcastle United > 4
Sheffield Wednesday > 4
Blackburn Rovers > 3
Huddersfield Town > 3
Leeds United > 3
Wolverhampton Wanderers > 3
Burnley FC > 2
Derby County > 2
Portsmouth FC > 2
Preston North End > 2
Tottenham Hotspur > 2
Ipswich Town > 1
Nottingham Forest > 1
Sheffield United > 1
West Bromwich Albion > 1
Leicester City > 1

Utahamisha sana magoli ndugu ila ukweli ni kwamba Mei 2020 sisi tunalichukua taji la 19 na kuanza maandilizi ya kuchukua la 20...

Hatupoi kabisa wewe jitoe ufahamu tutaelewana tu...


YNWA
 
Hahahaha una moyo mwepesi mno hii Liverpool usingeiweza kabisa...

Utulie ulipo tuwaonyeshe kazi...

Twawasubiri Anfield tutangaze ubingwa rasmi...


YNWA

Chelsea tunakutana nao May 9, last but one game. Tutakuwa tumeshatangaza matokeo mwezi mmoja kabla.

Umuhimu wa hiyo game itakuwa for record purposes: 100+ points na unbeaten.
 
Chelsea tunakutana nao May 9, last but one game. Tutakuwa tumeshatangaza matokeo mwezi mmoja kabla.

Umuhimu wa hiyo game itakuwa for record purposes: 100+ points na unbeaten.
Hahahaha sipati picha wakitupa guard of honour pale Anfield lol kwa kweli wana haki ya kulalamika maana hii itawapata vizuri sanaaa...

YNWA
 
View attachment 1321088
14 years ago today. It’s been a journey of dreams.

most of the times wachezaji ambao huwa tunasajili January huwa hawa disappoint. Mme observe hilo?
Man this boy will always be a legend..

He didn't win anything in terms of big trophy but the boy fell in love with this club and likewise...

Long live D. AGGER.
 
It the beginning of the end, that much I can guarantee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Keep dreaming aiseee mdogo mdogo mtatuelewa sana tu...

Am double sure last year may 2019 if you were asked will Liverpool take over and sweep all the opponents in EPL new seaon and set a new European record ungesema NO WAY...

Ushauri wangu mkuu kua na maneno ya akiba Kwa Liverpool hii...

YNWA
 
IMG_7418.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom