General Akudo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 560
- 829
ConquerorHivi mnafikiri tumetosheka? Hapana. Tutapiga. Tutaendelea kuwapiga. Tutawapiga hadi mtambae. Narudia tena tutawapiga sana. Klopp hawezi kushangilia vijiushindi hivi vidogo vidogo. Kuna timu tunazidai. Yaani tutazipiga. Point 61 katika mechi 21 si kitu kidogo, ni Premier League special record, ila vijana wanataka zaidi. Mentality iliyopandikizwa kwenye hii timu sio kuridhishwa na ushindi wa goli moja maana tunajua wapinzani wetu mmejipanga kutusimamisha hivyo tunataka tuwapige haswa ili mgundue kwamba kweli mlipambana na Liverpool. Tutawapiga sana. Next stop ni Anfield na tunawakaribisha Manjesta. Tutawapiga.
VOLUME UP TUTAWAPIGA MJUE MNAPAMBANA NA THE BEAST.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mourinho pleading ooh Klopp don't embarrass me again...
Klopp has evolved, the boys has evolved, the fans has evolved even those players who are bams are upping thier game case study Lallana of late, as a squad player he is playing some neat football...Lallana kuna jamaa nilikua nae akalalamika kwanini Klopp anamtoa Ox nikamwambia huyo anaenda kupunguza tempo kwa kukaa na mpira maana ni mzuri kwenye posession mwisho wa game kakubali kuwa Klopp siku hizi anafanya tactical subs.
Tofauti na zamani alikua anainua mtu ni mtu tu. Angalia Shaqiri tu kaingia bado dakika moja lakinlakini katengeneza chance ya goli.
AiseeeMourinho: "They were lucky. They could perfectly finish the game with ten, because the VAR at that time, they were having a tea and they didn't watch Robertson for a red card."
Jose Mourinho believes Andy Robertson was fortunate to escape a red card for his challenge on Japhet Tanganga...
Hahahah hatari sanaMourinho pleading ooh Klopp don't embarrass me again...
Hawa jamaa huko waliko wanaona aibu, walizani VAR itakuja kwaajili ya liver pekee
Mkuu wangu nilimaanisha idadi ya ubebaji wa Kombe la Champions League.Kwani Real Madrid tunakutana naye wapi mkuu? Tunayemsubiri si ni Atletico Madrid? Tena tunaanzia kwake, ole wake ajidai kufunga kagoli huko kwake atakuja kukiona cha mtema kuni pale machinjioni!
Hana kaz ,,,kafa Jirani ake paleHilo huwa linatukamia sana asee ila i hope Klopp ana mwarubaini wake.
ExactlyAlikuwa anamaanisha kumsimamisha Real Madrid kwenye idadi ya champions league cups.
Sent using Jamii Forums mobile app
LIVERPOOL HONGERENI SANA SISI MASHABIKI WA UPINZANI HUMU TUNAONA KAMA NI JUKWAA LA UGONJWA WA KUTISHA [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] HATUGUSI KABISA HUMU HONGERENI
Sent using Jamii Forums mobile app
,,,wambie next season it'll be upon their side
Unasemaje haihusiki wakati mane magoli yake mawili yamekataliwa na VAR?Katika mechi za Liver VAR haitumiki nadhani tusubiri kamati ya masaa 72 ije na majibu.View attachment 1320414
Sent using Jamii Forums mobile app