Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Walicheza vzr sana lakini uchezaji wao si wa kupambania makombe makubwa, kumbuka kwamba target zetu Sisi ni kuchukua EPL na CL 2020 hii, halafu September 2020 tukabebe tena UEFA super cup na Club world cup pale December 2020, tuna nia ya kuandika record katika ulimwengu huu wa soka duniani kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Screenshot_20200109-073910.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi signing za January ni ngumu sana, mbona mpaka sasa siku zinasogea hatushushi watu pale Anfield na pesa ipo na wachezaji wengi tu wangetamani kuchezea liverpool kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wazuri wengi wanataka wakija waingie kikosi cha kwanza moja kwa moja ni kusugua benchi..

Mkuu usione kazi ya kusajili kama nyepesi hata kama ela ipo...

Mikataba ya sasa ni ya ajabu hujaona mchezaji anasema akija yeye sio wa benchi na kama akikaa benchi kwa asilimia kadhaa basi ataruhusiwa kuondoka kwe bei chee..

Matip na Fabby wakipona hao ni 1st contenders kuanzishwa.. Hivyo kwanza kumshawishi mchezaji aje kua part time player ndio ishu ndugu yangu wakati wengi wanataka kuja ku shine....

Na Klopp sio mumuuni Wa kikosi cha wachezaji 25 wote wawe moto yeye anapendelea kikosi kidogo na ni rahisi kuki manage na wachezaji wanakua hawana maneno mengi...

Otherwise ikitokea mchezaji anauzwa bei poa, anakumbali ata share dakika na wengine, anaendana na mfumo wa Klopp basi huyo atanunuliwa...

Kupona kwa Gomez kumempa Klopp ahueni sana maana ndogo anacheza nafasi Tatu pale nyuma, anacheza RB, CB, LB hivyo hapo sasa Klopp namuona akitulia unless itokee exceptional player ndio atanunua..

YNWA
 
Liverpool make profit on Allan transfer despite outcast not making first-team appearance

A £2.5m deal has been agreed between the two clubs with Allan now linking up with his new teammates ahead of next season

He joined Fluminense last February and they were interested in signing him permanently, opening talks with Liverpool.

But they missed out and Allan has now returned to Brazil with Atletico Mineiro.

Liverpool paid around £500,000 for the midfielder, who is now 22.

Allan De Souza alikosa kibali pindi alivyonunuliwa Liverpool ikailazimu klabu kumpeleka kwa mkopo..

Short history of Allan de Souza..

In the summer of 2015, he joined English Premier League club Liverpool for a fee of £500,000 after impressing the club's coaches at the Frenz International Cup.

On 2 September 2015, he was loaned to Finnish club Seinäjoen Jalkapallokerho on a short term deal. Allan scored on his debut eight days later, coming on in the 56th minute for Jussi Vasara and opening the scoring sixteen minutes later in a 1–1 draw away to KuPS. He finished the season with one goal in eight appearances, in the process helping the club win the Veikkausliiga title.

On 29 October 2015, Allan returned from his loan spell to Liverpool, greeting the new manager of the club, Jürgen Klopp, for the first time.

On 18 January 2016, Liverpool announced that Allan had been loaned to Belgian club Sint-Truiden for the remainder of the season.He then returned to Liverpool in expectation of receiving a British work permit, which was not granted.

Allan signed for Hertha BSC on 5 August 2016 on a season-long loan deal, after Klopp recommended him to Hertha head coach Pal Dardai.

On 31 August 2017, Allan joined Cypriot side Apollon Limassol on a season-long loan.

In July 2018 he signed a new deal with Liverpool and joined Eintracht Frankfurt on a season-long loan.

On 15 February 2019, Allan joined Brazilian side Fluminense on loan until the end of the season after his loan spell in Germany was cut short

On 8 January 2020, Allan joined Atlético Mineiro on a four-year contract.
 
View attachment 1317206

Sent from my iPhone using JamiiForums

Why not Jordan?

Ukiangalia kwenye Mitandao jinsi inavyosambaza Makala kuwa Mashabiki wa Liverpool wanamkubali Henderson kuwa ni bonge la Mchezaji! Lakini ukija kwenye Tunzo ambazo zinapigiwa kura humuhumu Mitandaoni huwaoni kumpigia kura Hendo ili abebe tunzo hata Siku moja! Kwahiyo vile wakipost kwenye Mitandao kuwa Hendo bonge la Mido huwa Wanamzuga tu avimbe Kichwa?

Yani katika mwezi aliocheza vizuri zaidi tokea Klopp atue Liverpool ni Mwezi wa December 2019, Still kashindwa kuupata uchezaji bora wa mwezi

Mashabiki wa Hendo mitandaoni acheni kumzuga mwenzenu kumuita bonge la Mchezaji lakini likija suala la tunzo munawapigia Kura kina TAA, VVD, SALAH, MANE, BOBBY na FABINHO

Basi hata MAN OF THE MATCH munashindwa Kumpa?

Yani Jordan munamrate 9/10 kwenye performance yake lakini kura munampa mwengine kuwa Man of the Match ambaye mumemrate 7/10

Yani nyinyi munamdanganya Captain hivihivi.
 
Allan De Souza alikosa kibali pindi alivyonunuliwa Liverpool ikailazimu klabu kumpeleka kwa mkopo..

Short history of Allan de Souza..

In the summer of 2015, he joined English Premier League club Liverpool for a fee of £500,000 after impressing the club's coaches at the Frenz International Cup.

On 2 September 2015, he was loaned to Finnish club Seinäjoen Jalkapallokerho on a short term deal. Allan scored on his debut eight days later, coming on in the 56th minute for Jussi Vasara and opening the scoring sixteen minutes later in a 1–1 draw away to KuPS. He finished the season with one goal in eight appearances, in the process helping the club win the Veikkausliiga title.

On 29 October 2015, Allan returned from his loan spell to Liverpool, greeting the new manager of the club, Jürgen Klopp, for the first time.

On 18 January 2016, Liverpool announced that Allan had been loaned to Belgian club Sint-Truiden for the remainder of the season.He then returned to Liverpool in expectation of receiving a British work permit, which was not granted.

Allan signed for Hertha BSC on 5 August 2016 on a season-long loan deal, after Klopp recommended him to Hertha head coach Pal Dardai.

On 31 August 2017, Allan joined Cypriot side Apollon Limassol on a season-long loan.

In July 2018 he signed a new deal with Liverpool and joined Eintracht Frankfurt on a season-long loan.

On 15 February 2019, Allan joined Brazilian side Fluminense on loan until the end of the season after his loan spell in Germany was cut short

On 8 January 2020, Allan joined Atlético Mineiro on a four-year contract.
Nasikia fluminence walikataa mgawo wa 20% kwa liverpool on future sale nando mana wamemkosa akaenda atletico mineiro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom