Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
hakuna mzee, mane katoka soton anakula chin ya hapo, nahuo ndio ulikuwa mkataba wake wa kwanza na liverpool...hata kama ni wewe usingeweza kumpa mane 200k kwa week wakati ule anatokea soton kwa sasa wakiboresha mkataba wake ndio unaweza mkampa zaidi ya hapo....lkn kwa kipindi kile hata kama ni mm siwez kumpa hio helaa...Aisee mane leave this fuvcken club, kwa huu mshahara ni udhalilishaji kabisa daa
Hizi salary wanapanga kwa kuangalia rangi, mane ni black that why anamshahara wa ajabu kulingana na hizo kuku nyingine daa
Sent using Jamii Forums mobile app