OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Sijambo kaka Angu ...
Nyie hamfiki popote mzee...mutakuwa kama ile arsenal ya 2002 uko mutaongoza weee afu wanaume wa shoka tunakuja pindua meza..subiri uone..Watangazie ubingwa rasmi,timu ya kuifunga Liverpool hapo epl labda itoke sayari ya mars.
Mkuu sasa hivi nikushangilia tu ushindi na kuwasifia tu wachezaji wetu hakuna kingine.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe ni ulikuwa fan wa manure uko ..umeona inavurunda unaisepa..rudi kwenye timu yako kapambanie kombe..Tushabiki twa Liverpool tuna midomo ni hatareee! Tumewaziba midomo wapinzani! Ha ha haaaaa
Yule Takumi lazima ligi imshinde mkuu ..cunajua tena EPL muze baba[emoji3][emoji3] siyo ya wachezaj weny macho madgo kama akina Takumi ..
Achaga ushamba mkuu ..ujaona ya CR7 nini
Acha kuvuta sigara kali..vuta za kawaida tu..Liverpool sasa gari limewashwa dereva katupa ufunguo kwenye tope na gari halina breki na kwambia gari haizimwi na haisomami mpaka mafuta yakate hiyo May
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui timu Huyo! Tangu ujana wangu mie shabiki wa Reds! Nitake radhi mkuu!Wewe ni ulikuwa fan wa manure uko ..umeona inavurunda unaisepa..rudi kwenye timu yako kapambanie kombe..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka huu mtahamisha magoli mpaka mwonekane mazuzu! Yaani tayari mmeanza February tena? Si mlisema December!February amkatizi salama nawaambieni...
Kwa hiyo umekubali man u ni timu ya kitukoHata vvd alipokuwa sutton alikuwa na ubora alionao sasa? Alikuwa bek wa kawaida tu kaja liverpool kaji up grade We jamaa bana ubora wa mchezaj unafuatana na timu aliyopo hata mess umshushe bunley atakuwa kituko tu angalia na watu alionao maguire huyo gomes nakwambia mtupie city kama hajawa kituko
Kwahiyo umekubali kwmaba Liverpool baba laoHata vvd alipokuwa sutton alikuwa na ubora alionao sasa? Alikuwa bek wa kawaida tu kaja liverpool kaji up grade We jamaa bana ubora wa mchezaj unafuatana na timu aliyopo hata mess umshushe bunley atakuwa kituko tu angalia na watu alionao maguire huyo gomes nakwambia mtupie city kama hajawa kituko
natamani waendelee hivi hivi, wasipate majeruhi ya kuwarudisha nyumaDefence kuna Gomez, Nat. Phillips, Dem Berg, Ki-Jana, Lourucci, TAA na Williams hawa wote ni Talented Young Players.
Umeona mkuu,, nimecheka sana jinsi alivyohamisha goli tena sasa hivi anasema Liverpool tutafungwa kuanzia February! Mwaka huu mpaka wapagawe!!ollachuga si mzima hakika
Hiki kipande isitokee kusajiliwa Liva mtauwa makipa maana mishuti na kasi sio ya dunia hii
Uwanjani mmewashindwa sasa mnaomba mabalaa? Kazi kweli kweli! Hujui ligi ikiishia hapo anatangazwa anayeongoza?Tunakuomba bwana Donald Trump hiyo WW3 ukinukishe mapema kabla ya Mei.
Ndugu zangu Liverpool hiki kikombe ni bora tukose wote😂.
#GGMU❤️