Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Who cares tayari washasema wanachukua hatua mahususi, wewe endelea kunengua hapa jf wakati hata wenye timu yao hawafaham kama kiumbe kama wewe popote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije shangaa pia hawa wanaopata majeruhi mara kwa mara wanatolewa ..unaweza kuta mchezaji ukichukua mkataba wake ukiunganisha na muda aliokaa nje kwa majeruhi sawa sawa na msimu mzima..hiyo ni hasara huu msimu wako 50/50 kubaki ama kusepa ..tuone mechi zilizobakiHilo hilo unalosema kuhusu Lovren ukiodoa jocker ndio la Hendo pia...
Hatuhitaji kulipa $90K na $140k Kwa week ili mradi kuwafurahisha hao wawili..
June 2020 ataodoka mmoja wao...
Hahahah kkoo unaweza pata ..ila unafumba macho tu ..ukitaka OG kwa sasa pambana online mwenyewe....Hivi Wachina hawajafyatua uzi kama huo? Na unapatikana kwa bei gani?
Na sahvi kashakula uraia kabisa anaweza akashusha jeshi akaanza upya yule don ..maana sometime anatamanigi kushinda muda wote aangalii suraLampard amesashau boss wake kwenya kamusi yake hakuna neno kufungwo lol sioni mwakani akiwepo hapa Darajani labda upepo huu aukemee umpite mbali..
Congrats to Steve G Kwa shinda Old Firm derby leo..
Na sahvi kashakula uraia kabisa anaweza akashusha jeshi akaanza upya yule don ..maana sometime anatamanigi kushinda muda wote aangalii sura
Sent using Jamii Forums mobile app
Didn't remember kama kulishawahi kuwa na Mechi rahisi kati ya Liverpool na Manchester United hata kama ni Anfield.
Fanya calculation vizuri utaona tuna zaidi ya Misimu 4 tulishindwa kumfunga Manchester hapohapo Anfield mpaka tukambahatisha last season.
So, tunaweza kumfunga lakini sio rahisi kama unavyosema.
Pia yeye anaweza kutufunga au kutoa sare.
Nilileta takwimu hapa ukarukaruka. Haya leta takwimu hapa tumebebwa mara ngapi na VARAsilimia kubwa inawafavor sana kuliko kuwakataa..mpaka tunahisi ni ukweli mnabebwa..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndo ukweli mzee.Kitendo cha Kila Mtu kuilalamikia Liverpool kuhusu VAR inaonesha kwamba sasahivi Liverpool ni Timu inayofatiliwa zaidi na Wapenzi wa Soccer kuliko Timu yeyote ile Duniani.
Na ndiyomana VAR ikiboronga kwa Vitimu vilivyokwisha ishiwa kama Manure na Chelsea basi hakuna anayejali, but ikifanya maamuzi yeyote kuhusu Liverpool ndiyo utaona kelele nyingi sana hapa.
Manure huyu kupata sare kwa liverpool ya sasa hapo mkuu umeteleza, hata ile sare ya ot tu ni msaada wa referee na VAR vinginevyo manure alikuwa anakufa goli si chini ya 3, goli la manure lenyewe ni uhuni wa referee, mtu anakatawa mtama wanachukua mpira na kutoa assist ya goli referee anyoosha mikono tu badala ya kupiga filimbi
Sent using Jamii Forums mobile app
Manure huyu kupata sare kwa liverpool ya sasa hapo mkuu umeteleza, hata ile sare ya ot tu ni msaada wa referee na VAR vinginevyo manure alikuwa anakufa goli si chini ya 3, goli la manure lenyewe ni uhuni wa referee, mtu anakatawa mtama wanachukua mpira na kutoa assist ya goli referee anyoosha mikono tu badala ya kupiga filimbi
Sent using Jamii Forums mobile app
Welcome backNimerudi
Kwangu wakivaa ule uzi na kupata nafasi wajitume kama Lallana mechi ya juzi alijitahidi mno kadri awezavyo...Usije shangaa pia hawa wanaopata majeruhi mara kwa mara wanatolewa ..unaweza kuta mchezaji ukichukua mkataba wake ukiunganisha na muda aliokaa nje kwa majeruhi sawa sawa na msimu mzima..hiyo ni hasara huu msimu wako 50/50 kubaki ama kusepa ..tuone mechi zilizobaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sana mkuuWelcome back
Mkuu yule si ana uraia pacha Russian na Israel, huu Wa Uingereza kaupata liniNa sahvi kashakula uraia kabisa anaweza akashusha jeshi akaanza upya yule don ..maana sometime anatamanigi kushinda muda wote aangalii sura
Sent using Jamii Forums mobile app