Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Safari hii mtaumia sana roho,maana ndio kwanza tunazidi kuwapelekea moto.

Hatuwezi kufanya makosa ya miaka yote ,na tunajitambua na tunaakili timamu.

Ndio mlichobakiza hicho.na sisis msimu huu tunamaliza ligi bila ya kufungwa na timu yoyote ile.maana saizi gari ndio limewaka na mid January kikosi kitakuwa full mkoko sasa sioni kama kuna kima atatoka hapo au kupata hata goli.tuko moto


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
League ya mashoga, mnachukua ubigwa wa mashoga wanaume wapo laliga wew
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuyt, alikuwa mpambanaji sana me ningemfananisha na firmino kwenye kujituma kukaba,maana jamaa alikuwa anamapafu sio ya binadamu wa kawaida.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaha Kuyt ni kweli alikua kama Firmino ni wapambanaji haswa..

Ana rekodi yake murwa sana, ni Mchezaji wa kwanza Liverpool tangu 1990 kufunga hat trick dhidi ya Manchester United alifanya hivyo 6/3/2011..

YNWA
 
Haha hii ndo ile liverpool yenye wapiga vyumaa kama bellamy badala ya kuwa na wachezaji wa maana. Aise maisha yapo mbio sana
 
Sema hawa kuku wanaoongea kuhusu VAR watasababibisha vijana wawashe moto sana

Aisee... Watakoma nawaonea huruma

Yaani itakua ni kichapo mmoja baada ya mwingine

Niwape taarifa fupi tu vijana wana hasira aisee

Yaani wanaanza na sheffield kichapo kitakachotembea ni Mungu tu ndiye anajua

Yaani ni chapa twende

Hao manure aisee watapigwa wakuu

Yaani watapigwa kipigo ambacho sijui nisemaje

Ila kitakua ni kipigo
. Nmevujishia hii siri

Kaeni kimya [emoji28][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
liVARpool hata wawe na 15 points Gap hawatishi...

Tunajua muda wenu wa kuanza kuangusha maembe mnahitaji kuzingua mechi 6 au 7 tuu kati ya 18 zilizobaki..

Sent using Jamii Forums mobile app
Careless whispers

We are the world club champions, UCL champions and kings of Europe

Hizo ndoto za maembe kamalizie shambani
 
U
Unazingua mkuu, mbona wengi sana hapo wangecheza, 5,9,18,19,20,25
 
Mkuu mimi ni Mkongwe ila hapo waweza nikamata, asaiv utandawazi mpira hata kwenye simu unaweza kuangalia na kusoma chambuzi mbali mbali tofauti na wakati wa nyuma, mimi pia shabiki wa Simba ila siwezi kukutajia kikosi chote cha Simba kwasababu sifuatilii sana, ila hapa mzee baba nakutajia list yote ya kikosi cha Liverpool mpaka wachezaji wanaohisiwa kutua Anfield msimu ujao [emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Christian Paulsen
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…