at the same time, yeye asidondoshe hata point[emoji23]Kila baada ya Mechi 3 tupoteze Mechi 1 ili Man City abebe Ubingwa.
Kweli kwa Liverpool hii Watu wanatarajia kutokea hili?
naikumbuka offside moja ya young aisee nilishangaa sn,,, alikua offside karibu mita 3 au 4 hivi lkn refa hakuona[emoji2]Mwisho wa Msimu kitakachoandikwa ni 'Liverpool imebeba Kombe' na wala sio VAR.
Ni sawa na sisi tuliokuwa tukilalamika Howard Webb alikuwa akiibeba Manure lakini mwisho wa ilikuwa ikiandikwa Manchester kabeba kombe na wala si Webb aliyebeba kombe.
6 clean sheets out of 6. [emoji91][emoji91][emoji91] dhidi ya Bournmouth, Salzburg, Watford, Flamengo, Leicester and Wolves.View attachment 1307282
Sent using Jamii Forums mobile app
Super Heroic Gomez...6 clean sheets out of 6. [emoji91][emoji91][emoji91] dhidi ya Bournmouth, Salzburg, Watford, Flamengo, Leicester and Wolves.View attachment 1307282
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ni lile swali kati ya yai na kuku kipi kilitangulia..V.....van daik
A......anord
R.......robertson
Hahahaha ndugu nyumbani mambo ni motooooo...
Moderetor hivi ni wivu,au ni chuki binafsi mlizonazo mmegoma kabisa kutuandikia TROPHY yetu ya FIFA CLUB WORLD CUP na UEFA SUPER CUP kweli.