Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Seconded...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema kweli siku liverpool akichukua epl ,hakuna atakaye wapa heshima kuku nyie, coz dunia nzima inaona kuwa ni ubigwa wa kupangwa,

Coz ni aibu kubwa sana na watakuwa wameidhalilisha league yetu pendwa epl, kubebwa bebwa na var mpaka anakuwa bingwa wakat wanaume wa kazi wenye ubora wao wapo wananyimwa nafasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera Dada,, mmenyimwa nafasi na ubora wenu,, kazi kweli kweli! Hivi Manure nayo ina kikosi ambacho unaweza kujivunia?
 
Coz ....coz.... coz....... acha upimbi
 
Pain killer, Ollachuga Oc, el nino nk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi napenda ushindi wa halali sio wa VAR ....

Refer jana mkuu ..mijitu inadaka kama inacheza rede na goal linakubaliwa tena refa anapeta tu aaaaghg huu ni ujingaaaaaaaaa

#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu Fargie Si wazi kabisa alibebwa na marefa??? Kama ilivyo sasa mnabebwa na VAR bana[emoji3][emoji3][emoji3]

Enewei me nawatakia ubingwa mwema ila tusem tu ukweli VAR inakera kimtindo, ila ikiwa upande ni tamu balaa...[emoji3][emoji3][emoji3]

#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubingwa wa msimu huu hautakuwa na ushindani wowote maana tayar mnatengenezewa njia kabisa ya kubeba.

Munataka mutoe gundu sio??

Mbeleko Fc..[emoji3][emoji3]

#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp haangalii sura, yeye anaua kiumbe chochote kinachojipendekeza mbele yake...endeleeni kuchonga, sisi tunakusanya pwenti tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klopp haangalii sura, yeye anaua kiumbe chochote kinachojipendekeza mbele yake...endeleeni kuchonga, sisi tunakusanya pwenti tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi Chelsea hatukuwahi kubeba ubingwa kwa kiumbe chochote kile...

Kwanza hauna mtu wa mchambuzi yeyote aliyewahi kusema Chelsea atabeba ubingwa ...lakini tulibeba..

Man united alibebwa na Marefa, Man City alipigana kufanya kupona, ninyi munabeba na VAR ..ivyo ndo maisha yanavyokwenda bana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kila la kheri..

#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fifa World champion ni kakikombe ka hovyo tu..kipindi tunabeba hiki kikombe sikusikia hizi kelele kama mnazozipiga nyie..It's obvious mshindi wa UEFA ni champion wa Dunia

Kikombe cha Ovyo wakati kuna Man City, Arsenal, Tottenham hawajawahi kushiriki hili Kombe tokea Timu zao zilipoundwa?

Hilo ni Kombe la Mabingwa wa Dunia ambalo Kati ya Timu 20 zinashoriki EPL ni Manchester na Liverpool tu ndiyo walioliweka kwenye Kabati then unaita Kombe la hovyo?

Angalau Timu 5 tu kati ya 20 zingebeba ungelikuwa na haki ya kuita ovyo.
 

Liverpool hata ingebeba Kombe kwa kwa kukata miguu ya wachezaji wake pia musingeipa heshima.

Tumebeba UCL nani aliyetupa heshima?

Temebeba Super Cup nani aliyetupa heshima?

Tumebeba Club World Cup nani aliyetupa heshima?

Sisi hatutarajii heshima za Haters, Bali heshima tunajipa wenyewe.

Subiri May uone Kops tutakavojipa heshima ya kusomba kila kitu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…