Daglish?? Bora ungenyamaza usitutie aibu washabiki wa Liverpool.
Sikulaumu! Huenda ukawa unamkubuka Sir King Kenny akiwa kocha wa Liverpool mwaka 2011 ambapo pia hakufeli kwani msimu wake huo mmoja pia alitupatia Carling Cup (Now Carabao).
without VAR, baada ya game # 18 bado tungekuwa na 6 points above ManCity and 13 above Leicester with a game in hand.Idadi ya magoli yaliyokataliwa na VAR.
Msimu: 2019/20
Jumla: 39
4 - BHA
4 - SHU
3 - ARS
3 - AVL
3 - LIV
3 - MCI
3 - TOT
3 - WHU
3 - WOL
2 - BOU
2 - BUR
2 - CHE
2 - CRY
1 - LEI
1 - NOR
0 - EVE
0 - MUN
0 - NEW
0 - SOU
0 - WAT
#FPL #PremierLeague #VAR
So spare us your bullshits!
Sent using Jamii Forums mobile app
First, Nina uhakika kwa asilimia 100% kuwa nimeanza kuangalia mpira na kuipenda Liverpool tokea wewe upo shule ya Msingi au Kindergarten au even hujaanza kwenda Shule.
Second, Mimi naamini ninachokiona with my own eyes na wala sio porojo za pundits wakati pundits wenyewe ni aina ya Gary Linekar na Gary Neville.
Serious hujui mchaango wa Henderson kwa kipind Cha nyuma na wakati no ewew mwenyewe Kuna comments uliongelea alivyokuwa na misimu Bora Kati 2013 -16!!? Au ulikuwa unamaanisha Nini!!?Henderson been so good for us for the past few weeks (month or so) & i'm a fan now.
But, huo MCHANGO mkubwa wa Henderson for the last 4 years ni upi??
Lets discuss this..
Sent using Jamii Forums mobile app
HatariMkuu andika kiswaahili tu,hizi lugha nyingine waachie wenye uwezo nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
VAR inahesabu na yaliyokubaliwa? [emoji23] hapo nmeweka yote yaliyoingia na kukataliwa
Timu lako linapigwa hadi na soton,Huu msimu lazima muwe mabingwa maana njia nyeupe mumeandaliwa ..
"With VAR everything is possible"
Sent using Jamii Forums mobile app
Serious hujui mchaango wa Henderson kwa kipind Cha nyuma na wakati no ewew mwenyewe Kuna comments uliongelea alivyokuwa na misimu Bora Kati 2013 -16!!? Au ulikuwa unamaanisha Nini!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Serious hujui mchaango wa Henderson kwa kipind Cha nyuma na wakati no ewew mwenyewe Kuna comments uliongelea alivyokuwa na misimu Bora Kati 2013 -16!!? Au ulikuwa unamaanisha Nini!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu msimu lazima muwe mabingwa maana njia nyeupe mumeandaliwa ..
"With VAR everything is possible"
Sent using Jamii Forums mobile app
Citizens in their form can't win UCL hao bookmakers wameliwa....recently I have been dreaming of a minimum of a quadruple (UEFA Super Cup, FIFA Club World Cup, EPL & UCL) for us this season....stop calling me crazy, will you?
the first 2 are already in the bag - so, we have got at least 2 more to go!
bar an unlikely catastrophic collapse in the EPL between now and May 2020, it's safe to say we are all but home & dry in this competition (pretty much).
although the bookmakers place ManCity higher than us in their pathetic odds in the UCL (see below), i believe we are better equipped in this competition (UCL) than they are.
anayebisha anyoshe kidole juu??
Five favourites to win Champions League after last 16 draw
After the last 16 draw has been made, we take a look at the five favourites to win the 2019/2020 Champions Leaguethefootballfaithful.com
tatizo lako huna akili.........
angalia wolves wamenunua wachezaji wa bei gani ndio uje na huo uharo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali labda iwe kuulizia ushindi wa V.A.R unavyofanya kazi.December
Wednesday 4
Liveepool 5 - 2 Everton
Saturday 7
Bournemouth 0 - 3 Liverpool
Saturday 14
Liverpool 2 – 0 Watford
Saturday 21
West Ham United - Liverpool (Postponed)
Thursday 26
Leicester City 0 - 4 Liverpool
Sunday 29
Liverpool 1 – 0 Wolverhampton Wanderers
Kuna swali lolote?
Lakin hii var wapinzani msimu uliopita waliililia sana baad ya kuona Liverpool tumefunga magoli mengi ya offside.
Sasa mbona mnaanza tuzonga tena ghafla namna hii hamuitaki au? maana mkiikataa tutaanza kufunga magol ya offside tena mpk museme po wenyewe
Me naona bora muwe wapole tu maana hata uwezo wetu ni mkubwa ndio maana jezi yetu kwa sasa imechafuka vyeo tu
. Sasa achilia mbali VAR turud kwenye common sense hiv timu gani kwa sasa inakifua cha kuifunga LFC ?(labda tuanzie hapa)