Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sina mifano zaidi ya hizi mechi mbili namuona kama anashikilia sana mipira mpaka adui anajipanga.msimu alio ng'ara alijua kutoa pasi za hakika sasa anatoa pasi akikwama.sisemi ni mchoyo ila anatamani mafanikio yake kuliko team.a melewa mafanikio bila kujua kuwa ndo anajikwamisha.

Salah ndo anasababisha ile front ionekane imechoka.
Firmihno kunasiku alimnyima Salah pasi na kumpa Mane aliemazingila magumu zaidi ya Salah chuki hii ipo hata ukiangalia waliokua wanampoza Mane pale benchi kwenye lile tukio niwazi Salah alichukiwa.

Mechi ya juzi Klopp alipiga kelele baada ya Salah kulazimisha kufunga huku Mane akiwa kwenye nafasi nzuri zaidi nikatafsili huenda ndo sababu akamtoa siku ile mbaya zaidi baada ya kutoka mbele kuka changamka zaidi.
Kila mchezaji ni muhimu kama ataifanyia vyema Club

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Go back and do your homework kwa King Kenny mr Tajiri.



Sent from my SM-G9550 using Tapatalk
 
Henderson been so good for us for the past few weeks (month or so) & i'm a fan now.


But, huo MCHANGO mkubwa wa Henderson for the last 4 years ni upi??


Lets discuss this..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Naunga mkono
 
Kai is a very very very very good player..

But, i think we'll go for a competent wide-man in the summer..

Niliona James Pearce anasema kwa mtazamo wake yeye binafsi anaombea club isajili another competent CM, sasa sikumuelewa maana, ukiachana na Faby & Keita tuna Gini/Henderson/Ox/Milner & Grujic..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah ni WC kweli, hasa kutokana na sifa alizojijengea mwaka juzi
Ila lazima unajua kabisa sahivi anaharibu zaidi ya kutengeneza,
He’ll be good again akiacha uchoyo na kuacha kuwazia kuwa top scorer


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hicho kitu ambacho Salah anaharibu, ndiyo nataka nikijue..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dalglish?

Are you for real?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Divock Origi ataanza leo

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
Tatizo anampanga nafasi ya Mane ningumu sana kwake Origi anafaa kwa mfumo 4 2 3 1 awembele ajabu namuonaga Salah mbele.Salah anakua mtam sana akiwa kulia.Mane hatakiwi kupumzika labda baada ya ushindi mimi naona Shaqil anamudu kucheza nafasi ya Salah.

Boby na Mane hawana m badala labda Minamino akija kufit atacheza kati na hata pembeni.

Origi aingie tu kama mambo yakiwa magumu tena apangwe mshambuliaji wa mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…