Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Lakini tunakawaida ya kupata magoli mengi Salah akiwa nje unalizungumziaje hili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Well with Nike coming on board the transfers will get better though complicated at times and with clubs having that knowledge naona hata bei za wachezaji tukipandishiwa...Kai is so good,
I think team ambayo ipo serious iki-bid 80-90m itampata..
Kama akija LFC, tutakuwa tume-complete domination for the next 10 years..
I'd like to see Grujic kwenye PL next season, he's been very good this season kule ujerumani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiondoka lovren tumrudishe coadyHe'll surely leave next summer..
but, he stepped up very well (kulingana na uwezo wake), wakati both Gomez/Matip walivyokuwa nje hapa katikati.., but he'll leave in the summer.
Man, i'm so happy for Coady, anastahili kila jambo nzuri juu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni dhahili una mapenz binafsi na Salah
Sent from my iPhone using JamiiForums
This guys always discussing and give much respect to unbeaten fuvcken club liverpool and their players
Huku mkitoa shukran that hando has improved in the pitch nowadays, utafikili kina klop, matip wanapita humu kuwasikiliza, kutwa kuandika paragraph
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnapoteza muda bure camoon guys
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonesha siku tutakayofungwa EPL utaandaa Party
Hata hivyo na wewe unapashwa uishukuru Liverpool kwa kukupa hela za kwenye Mkeka
Hahahaha huyu Pain Killer full vituko yaani sidano kila akipiga ramli inagusa mfupa yupo kama Ollachuga Oc wewe muache siku atajipiga ban mwenyewe...Inaonesha siku tutakayofungwa EPL utaandaa Party
Hata hivyo na wewe unapashwa uishukuru Liverpool kwa kukupa hela za kwenye Mkeka
My favorite LFC player kwasasa ni Roberto Firmino.
But, i like to appreciate WC players wanaoipa mafanikio club ninayoi-support kila siku, & Salah ni mmoja wapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
This last standing Pharaoh is a victim of his own making..Kitu alichonacho Salah ambacho kipo wazi ni kuwa ile general performance ya Salah ndiyo imepoteza Skills na kuwa haperform vizuri tu na wala sio sababu ya selfishness.
I like the look of Berge..
But, we have Grujic already, we need to give this kid a chance..
Kai Havertz will be a DREAM signing, but cant see it happening..lol
Takumi can play as an 8/10 & 11 so it depends na wapi klopp atataka acheze, but he's so good akitokea katikati..
Sent using Jamii Forums mobile app
Lovren haha he is still damn lucky that his partners in business Matip and Gomez are prone to knocks and lay offs otherwise who need self proclaimed best in the world when those two when fully fit their actions speak for themselves...
Coady bhana went in the right club and the rest is history..
Grand to see him at this level and with the CP armband lol sky is the limit..
Toa mifano/stats halisi kwa kufanya comparison ifuatayo:
5 Matches with Salah v/s 5 Matches without Salah
Ukiamua kuchagua Matches usiwe biased coz ukisema tulimfunga 5 Everton bila ya Salah, pia ukumbuke tulimfunga Arsenal 5 tukiwa na Salah.
Ukileta Stats ukweli utaonekana, otherwise itabidi muendeleze story zenu tu.
Hii concept ya kuwa bila ya Salah tunashinda nyingi haina Fact yeyote just ni Myth tu.
Wuuuuh,, these boys what kind of fucking football they are playing! You can't imagine! The haters are wasting their time for nothing! Painkiller you better join these fucking squad!This guys always discussing and give much respect to unbeaten fuvcken club liverpool and their players
Huku mkitoa shukran that hando has improved in the pitch nowadays, utafikili kina klop, matip wanapita humu kuwasikiliza, kutwa kuandika paragraph
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnapoteza muda bure camoon guys
Sent using Jamii Forums mobile app
Problem niliyoiona ni kwamba Watu wanataka kila Shot anayopiga Salah iwe converted, akimiss tu inaitwa selfish.
Kiufupi watu wanataka Salah asiwe na Missed shot, au awe na Zero shot per 90m. Yani asiattempt shot yoyote bali awe anatoa pasi kila akifika karibu na goli.
Ukimuambia Mtu alete Stats Salah anatengeneza nafasi ngapi kwa kila game, basi ataanza blah blah nyingi.
Kila Mchezaji anapoteza nafasi nyingi zu kafunga, lakini akipoteza Salah inakuwa ni selfish, Why?
Salah sio selfish whether you want or not, otherwise tufute kauli yetu ya kuwa Klopp anajua zaidi coz Salah yupo under Klopp's guidance na klopp hajawahi kumuattack au kutack disciplinary action against Salah for selfishness, why you?
This guys always discussing and give much respect to unbeaten fuvcken club liverpool and their players
Huku mkitoa shukran that hando has improved in the pitch nowadays, utafikili kina klop, matip wanapita humu kuwasikiliza, kutwa kuandika paragraph
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnapoteza muda bure camoon guys
Sent using Jamii Forums mobile app