Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Hahaha Ollachuga Oc kaambulia kipigo humuoni kukatiza humu...hawajapoteza gemu Boxing day tangu 1995Wote hao wapigwe tu hakuna namna!
Arsenal wamepata draw....
Hahaha Ollachuga Oc kaambulia kipigo humuoni kukatiza humu...hawajapoteza gemu Boxing day tangu 1995Wote hao wapigwe tu hakuna namna!
Kheri ya sisi tuliopata sare away kuliko yule anayegawa home mapoint...Hahaha Ollachuga Oc kaambulia kipigo humuoni kukatiza humu...hawajapoteza gemu Boxing day tangu 1995
Arsenal wamepata draw....
Manure naye yuko nyuma kwa 1-0, apigwe tu hana adabu kabisa!Hahaha Ollachuga Oc kaambulia kipigo humuoni kukatiza humu...hawajapoteza gemu Boxing day tangu 1995
Arsenal wamepata draw....
Majinga yamesawazisha!Manure naye yuko nyuma kwa 1-0, apigwe tu hana adabu kabisa!
Wamechomoa.Manure naye yuko nyuma kwa 1-0, apigwe tu hana adabu kabisa!
Sasa yanawapeleka!Wamechomoa.
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Bwana wee gemu ya 5 nyumbani wana lala..Kheri ya sisi tuliopata sare away kuliko yule anayegawa home mapoint...
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha Manure Leo ushindi wao..Manure naye yuko nyuma kwa 1-0, apigwe tu hana adabu kabisa!
Two hours less to go againnnnnSina hofu kabisa na mechi ya leo,Kwa sasa imani niliyonayo kwa Vijana wetu ni kubwa sana.
WE GO AGAINNNNNNNNNN.
Lineup ya fainali hii sioni fox wakitoka hapa
Round ya pili inaanzia mechi ya 20Hivi kwa nn leo Liverpool anaanza mech Round ya pili? wakati round ya kwanza haijaisha!
Liverpool amecheza mechi 17 na anakipolo kimoja= mechi 18 jumla. Cha kushangaza leo ni mechi ya round pili. Round ya kwanza mechi 19 na Round ya pili ni mech 19.
Jumla mechi 38.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hopefully Trent and Keita really turn up for this game...