Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_7111.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jamaa alikuwa ni winger mzuri, mwisho alikimbilia Ureno. Sijamsikia tena.

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Nakumbuka kuna gemu moja dhidi ya Manchester United alifanya kazi nzuri sana...

Benitez pamoja na yote mazuri alichangia kutuvuruga kitendo cha pia kutofautiana na Alonso akaodoka na kusajili eti Aquilani ilikua ni janga lingine...
 
Nani hao wanakaribia kupigwa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo ni Manure na Chelsea Mkuu

Maguire ni New version ya Smalling tu nothing special, but British Media kama kawaida yao wamemkuza na kumfanya ni Bonge la chezaji

Sasa na huyu Madison ni new version ya Henderson tu nothing special but anatafutwa Mtu apigwe kwa £70m.

Huyu Chilwell ni wa Midtable Teams tu hana lolote jipya. Soon atapigwa mtu kwa £50m kama Man City walivyopigwa £50m kwa Stones.
 
Mkuu like seriously Keita Ana poor form????

Najua unampenda Hendo ila for this man your too wrong khaa
hakuna mahali au wakati wowote nilipowahi kuandika eti namchukia au kumpenda mchezaji wa LFC mmoja zaidi ya wengine (including your Hendo).
mimi naipenda squad nzima ya LFC (wakiwemo Hendo wako, Keita, etc) ambayo within 6 months imeweza kutupa heshima kubwa ya kutuletea kabatini makombe 3 muhimu ya kimataifa.

lakini pia nilichosema si uongo... kwamba katika kipindi chote tangu Keita asajiliwe, Hendo amekuwa more reliable in the eye of our gaffer kuliko Keita. kuna kipindi kuna wise redmen walianza kum brand Keita eti ni "Klopp's flop".

tuwe objective.... Hendo ana udhaifu wake but pia Keita siyo perfect. I'll leave it to the gaffer to deploy the best XI on the pitch.... so far it's working with 3 big trophies in our cabinet.

Klopp is wise enough to borrow a leaf or two from the legendary Bill Shankly whose two of the most popular wise quotes ran as thus....

1. why fix something if it ain't broken?

2. a football team is like a piano. you need eight men to carry it and three who can play the damn thing.
 
Let's end the issue mkuu maana hatutaelewana through hii new view uliyoandika hapa

My quote ililenga only 'Keita poor form' uliyoleta
 
siioni sababu ya kutoelewana ndugu yangu. sote tunajenga nyumba moja, huyu anachangia mchanga yule simenti.

Keita's form is currently very good, and long may it continue. this is what I meant, this is what I mean now and this is my wish for all our blessed players.
 
hakuna mahali au wakati wowote nilipowahi kuandika eti namchukia au kumpenda mchezaji wa LFC mmoja zaidi ya wengine (including your Hendo).
mimi naipenda squad nzima ya LFC (wakiwemo Hendo wako, Keita, etc) ambayo within 6 months imeweza kutupa heshima kubwa ya kutuletea kabatini makombe 3 muhimu ya kimataifa.

lakini pia nilichosema si uongo... kwamba katika kipindi chote tangu Keita asajiliwe, Hendo amekuwa more reliable in the eye of our gaffer kuliko Keita. kuna kipindi kuna wise redmen walianza kum brand Keita eti ni "Klopp's flop".

tuwe objective.... Hendo ana udhaifu wake but pia Keita siyo perfect. I'll leave it to the gaffer to deploy the best XI on the pitch.... so far it's working with 3 big trophies in our cabinet.

Klopp is wise enough to borrow a leaf or two from the legendary Bill Shankly whose two of the most popular wise quotes ran as thus....

1. why fix something if it ain't broken?

2. a football team is like a piano. you need eight men to carry it and three who can play the damn thing.

Haha Bill Shankly Kwa quotes hajambo

1) "Some people think football is a matter of life and death. I don't like that attitude. I can assure them it is much more serious than that.'

2) "The trouble with referees is that they know the rules, but they do not know the game" .

3) "A lot of football success is in the mind. You must believe you are the best and then make sure that you are".

4) "Aim for the sky and you'll reach the ceiling. Aim for the ceiling and you'll stay on the floor".

5) "What a great day for football, all we need is some green grass and a ball".

6) "Football (soccer) is a matter of life and death, except more important".

7) "If Everton were playing down the bottom of my garden, I'd draw the curtains".

What's a gaffer this great man was..

YNWA
 
Lol...... umeona eh?

our great man was quite hilarious!!
 
Point 3 muhimu tena kwa mabingwa wa mabingwa duniani.

Liverpool’s last 5 Boxing Day results:
-
18/19: Liverpool 4-0 Newcastle
17/18: Liverpool 5-0 Swansea
16/17: Liverpool 4-1 Stoke (27th)
15/16: Liverpool 1-0 Leicester
14/15: Burnley 0-1 Liverpool
-
The reds love a festive fixture! #YNWA
liverpoolfc-20191225-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom