Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

The Barcelona humiliation was the epitome of my Liverpool FC fanship.
I will never forget that night, bearing in mind that I watched the game with the leader of the the rebels, (in DRC) who is a die hard fan of Barcelona!!!
Mwenyeji wangu told me to keep CALM because any form of celebration will irritate the big man, and I will be in danger.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wow duh that really danger kaka aisee.. Kwanza una moyo wa chuma maana utamu Wa yale magoli na hukushangilia inahitaji super calmness ya juu mno....

Grand ulimsikiliza mwenyeji wako and no danger befall you in that rich and rugged country...

Eliminating Barca was damn sweet and that game sent YouTube servers to overwork maana even after the game fans continued and have continued to watch the comeback of the decade, Barca were even favourites for both legs and to win the trophy but Klopp had other plans and its worked wonders..

Salute to the boys, the fans and Klopp effects for surprising the Catalans...

Pole to Coutinho who was bamboozled joining Barca for glory only for the majogoo to do what's majogoo do..

YNWA

Baada ya game nilikesha naangalia YouTube, baada ya "boss" kurudi mlimani kwenye camp yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ningekufa siku ile, I believe ningeenda direct peponi coz ile furaha and CALMNESS was heavenly!
That night Anfield was super electric, the atmosphere was extremely terrifying to them Barca.

Sent using Jamii Forums mobile app
UCL nights at Anfield are terrible for the visiting team... Ask Pep and his star loaded Citizens and he will tell you..

We have eliminated Pep now twice once with Barca and once with Citizens and one major boast that ticks is our fans even when away they always raise thier voices to the highest to stamp thier presence...

We have one if not the best atmosphere as fans at home and away...

So any visiting team will be lucky not to tremble and feel goosebumps playing at Anfield kaka even the very best like Barcelona crumbled...

Now we rule... And the next decade looks very promising..

YNWA
 
.
20191225_100723.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachezaji wenzake wanamkubali Sana.
Tafuta link za Liverpool ukasome. Hawajaandika waswahili. Wameondoka wataalam.
Wachezaji wanajua kaptain wao hapendwi na mashabiki.

Tokea ulipozaliwa hujawahi kusikia kuna Timu wachezaji wametamka "HAWANA IMANI NA CAPTAIN WAO" haijalishi anacheza uzuri au vibaya.

Kumbuka hata Granit Xhaka wa Arsenal baada kuonesha utovu wa nidhabu wachezaji walimuunga mkono waziwazi.

Suarez hakuwa Captain lakini alionesha ubaguzi wa waziwazi dhidi ya Evra hata hivyo wachezaji wenzake waliprint mpaka T-shirts za kumkubali na kumuunga Mkono.

Karius hakuwa Captain lakini alichotufanya kwenye CL Fainali hatuwezi kukisahau, juu ya ubovu wake wa kupigwa Risasi haikuwahi wachezaji kuonesha hisia yeyote ya kutokuwa na Imani naye.

Kwahiyo kusema wachezaji wenzake wanamkubali hiyo haiprove chochote kwenye Kiwango cha uchezaji cha Hendo.
 
Kwenye semifinal ya Qatar alikuwa kitasa mkoba na akafanya vizuri.
Sisi tunamuona luningani tu hatupo dressing room.
Ukikubalika dressing room wewe ni potential. Vvd,Andy,Mane,Bobby,Klop wanamheshimu Sana Hendo.
Ameinua makwapa Mara 3 bado epl.

Kama wewe kweli unaishi kwa uhalisia na Free from Hypocrisy Je uliwahi kujiuliza kwanini Waandishi wa Habari wa Liverpool wanawahoji wachezaji kuhusu wanavyomuona Hendo?
Kwanini wanauliza hilo swali?
Naomba unijibu kwanini wachezaji waulizwe kuhusu wanavyomuona Hendo?

Ivi huoni kuwa kuna udhaifu kwa Mtu huyo mpaka kufikia Wachezaji kuulizwa wanamuonaje Kapteni wao?

Mbona sijawahi kuona kina Carragher na Aggar wakiulizwa walikuwa wanamuonaje Gerrard?

Wala kina Drogba na Lampard hawakuwahi kuulizwa walikuwa wanamuonaje Terry?

Iwe ni kwa Hendo tu?

Hapo ni wazi kuwa Waandishi waliuliza huku wakiwa na uhakika wa Kupata Majibu positive ili watumie kama kigezo cha kuhuisha ubora wake kwa Mashabiki.

SWALI LA MSINGI:

KWANINI WAANDISHI WAHOJI UBORA WA HENDO KWA WACHEJAZI WENZAKE? KUNA NINI HATA WAHOJI?
 
Naomba nikuulize swali mkuu, hivi ni captain gani umewahi kusikia anatetewa na wachezaji wenzake kila mara?

HUYU NDIYE CAPTAIN WA KWANZA KATIKA HISTORIA YA SOCCER ANAYEONGOZA TIMU KUPITIA HURUMA ZA WACHEZAJI WENZAKE

Tuliwashuhidia wachezaji wakitulia kwenye Timu zao kupitia Huruma za Macptain wao hasa pale wanapofikwa na Matatizo ya kimpira.
Lakini cha ajabu leohii Captain wetu ndiyo kageuka yeye anaishi kwa huruma za wachezaji anaowaongoza.

CAPTAI YUPO KUWATETEA WACHEZAJI WAKE, SIYO HUYU ANAYETEYEWA YEYE NA WACHEZAJI WAKE

Badala ya kuwa yeye ndiye akae kwenye Vyombo vya Habari awatetee kina VVD, SALAH na MANE pale walipoingia kwenye Mgogoro wa kufanyiana Ubinafsi.
Cha ajabu eti yeye ndiye anatetewa Ucaptain wake kwenye Vyombo vya Habari kupitia kina VVD, SALAH na MANE.

HUYU NI CAPTAI DHAIFU

Na kikubwa zaidi kwenye Social Network ni MILNER na GINI ndiyo walikuwa wakimtetea SALAH na MANE kwenye issue ya UBINAFSI.

Lakini huyu Captain Dhaifu aliufyata kimya akivizia yeye Atetewe na wachezaji hao kupitia mahojiano na Waandishi wa Liverpool.
 
Hapo ndiyo concern ilipo, kwamba tuna captain, haumwi, kila siku yupo, performance field ni poor, lakini inabidi wachezaje wenzake waje kutetea kwamba sisi hatuwezi kuona ila jamaa anafanya vizuri.

At first place, wanamjibu nani? Nani kawauliza? Na kwa nini iuliziwe performance ya Hendo?
 
Kama wewe kweli unaishi kwa uhalisia na Free from Hypocrisy Je uliwahi kujiuliza kwanini Waandishi wa Habari wa Liverpool wanawahoji wachezaji kuhusu wanavyomuona Hendo?
Kwanini wanauliza hilo swali?
Naomba unijibu kwanini wachezaji waulizwe kuhusu wanavyomuona Hendo?

Ivi huoni kuwa kuna udhaifu kwa Mtu huyo mpaka kufikia Wachezaji kuulizwa wanamuonaje Kapteni wao?

Mbona sijawahi kuona kina Carragher na Aggar wakiulizwa walikuwa wanamuonaje Gerrard?

Wala kina Drogba na Lampard hawakuwahi kuulizwa walikuwa wanamuonaje Terry?

Iwe ni kwa Hendo tu?

Hapo ni wazi kuwa Waandishi waliuliza huku wakiwa na uhakika wa Kupata Majibu positive ili watumie kama kigezo cha kuhuisha ubora wake kwa Mashabiki.

SWALI LA MSINGI:

KWANINI WAANDISHI WAHOJI UBORA WA HENDO KWA WACHEJAZI WENZAKE? KUNA NINI HATA WAHOJI?

Thank you for this useful post.

Kama mtu akisoma hapa na asielewe maana, itabidi tumwite tajiri Watery aje aelekeze kwa formula za physics.
 
Thank you for this useful post.

Kama mtu akisoma hapa na asielewe maana, itabidi tumwite tajiri Watery aje aelekeze kwa formula za physics.

Ukiona watu wanahoji kuhusu Vyeti Vako au Elimu yako ujue kuna kasoro wameziona kwako.

Same ukiona Waandishi wanahoji Wachezaji kuhusu Muonekano wa Captain wao ujue kuna Kasoro kwa Captain huyo.
 
Thank you Herr Klopp.
Merry Christmas to you, chief!
You're simply the best on the planet.
Your belief in your squad is unparalleled.
Gravels miraculously become diamonds.
Wannabes are elevated into world beaters.
Ain't listen to the noisy detractors.
Keep doing what you believe is right.
In you only, we trust.
 
Ukiona watu wanahoji kuhusu Vyeti Vako au Elimu yako ujue kuna kasoro wameziona kwako.

Same ukiona Waandishi wanahoji Wachezaji kuhusu Muonekano wa Captain wao ujue kuna Kasoro kwa Captain huyo.

Na ninaamini moja ya challenge aliyonayo Klopp ni Hendo, najua hana namna lakini angekuwa na namna angeshaachana na hilo garasha.

Muda utafika tutakuwa na timu yenye captain. Sasa hivi mimi nahesabu hatuna captain.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom