Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kabisa ndugu mwaka jana angalau Leicester kidogo nakumbuka ile mechi walimkazia kweli City kabla Kompany hajapiga ile thunderbolt strike... Hivyo Kwa Kwa sasa hatuhitaji msaada Kwa wengine tunakomaa wenyewe...
 
kwani mpira ngono kwamba wanafanyia chumbani?.........

hendo ana misimu zaid ya 6 pale liverpool...... nimemtazama sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiishie kutazama tu. Jaribu kuwa "technical analyst" Vilevile jaribu upate angalau epistemological certificate of football ili uwe na legitimacy ya kusema wachezaji wa ngazi ya UEFA
 
Kabisa ndugu mwaka jana angalau Leicester kidogo nakumbuka ile mechi walimkazia kweli City kabla Kompany hajapiga ile thunderbolt strike... Hivyo Kwa Kwa sasa hatuhitaji msaada Kwa wengine tunakomaa wenyewe...
Yaani Manure na Chealsick waliachia wazi kabisa kuikomoa Liverpool! Zile game hazikuwa za wao kufungwa kabisa! Mwaka huu tumewakomesha!
 
unapenda sana kuyafanya maisha yawe magumu..........

kwako wewe hata traore alikua bora simply kwa sababu alitupatia kombe pale instabul siyo?
Usiishie kutazama tu. Jaribu kuwa "technical analyst" Vilevile jaribu upate angalau epistemological certificate of football ili uwe na legitimacy ya kusema wachezaji wa ngazi ya UEFA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unapenda sana kuyafanya maisha yawe magumu..........

kwako wewe hata traore alikua bora simply kwa sababu alitupatia kombe pale instabul siyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jordan Henderson ni miungoni mwa wachezaji wachache duniani ambao ni wapambanaji ili timu ipate matokeo. Liverpool tunajivunia huyu mtu! Tunaenda kutwaa EPL 2019/2020 stay in touch!
 
Alex Oxlade-Chamberlain to miss Liverpool's final games of 2019 due to ankle injury. Oxlade-Chamberlain will miss Liverpool's trip to Leicester on Boxing Day as well as the Sky Live visit of Wolves three days later, and Klopp is unsure when the England international will be ready to return to action.
 
Hapo nadhani sikutumia njia sahihi tu ya kufikisha ujumbe.

Point yangu inaanza baada ya Benitez ndiyo tulikuwa laughing stock mpaka Klopp ndiyo akatutoa mashimoni.
 
Yani ninapokumbuka tunampiga Chelsea Nje-Ndani akiwa na Diego Costa na Hazard then tukuja kuliwa Nje-Ndani na West Bromwich Albion.

Mpaka tukaitwa ROBIN HOOD "steal from the rich, give to the poor"
 
Huyu Chamberlain ni mchezaji ninayempenda sana lakini ananidisappoint kwakweli.

Kila msimu hatimizi mechi 10 za EPL anaishia kuumia.

Tunahitaji replacement kwakweli.
 
Kwahiyo hapa ulipokubali umeletewa research au?

Huenda wewe ni Polepole au Yeriko Nyerere bali umeficha ID yako tu.
Unapozungumzia research lazima ulete takwimu kupitia reliable sources. Hao uliowataja, inaashiria una ukame wa hoja!
 
Yani ninapokumbuka tunampiga Chelsea Nje-Ndani akiwa na Diego Costa na Hazard then tukuja kuliwa Nje-Ndani na West Bromwich Albion.

Mpaka tukaitwa ROBIN HOOD "steal from the rich, give to the poor"
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naikumbuka sanaaa ndugu..

Tumebatizwa na moto ndugu maana hapo mashabiki wengi wenye mioyo miepesi walitukimbia na kuhamia Chelsea na kwingineko tubaki wenye roho ya ngumu tukiamini kuna siku tutacheka.. Na sasa tunacheka HAHAHAHAHA tena Kwa herufi kubwa...

Hakuna cha Robin wala nani sasa we have reclaimed out status tena kibishi...

Unleash the the cocks come 26/12/19 at Kings Power and we finish 2019 in style...
 
Yaani Manure na Chealsick waliachia wazi kabisa kuikomoa Liverpool! Zile game hazikuwa za wao kufungwa kabisa! Mwaka huu tumewakomesha!
Hahaha Manchester United, Everton, Chelsea haha yaaani hao wapo tayari washuke Daraja lakini sio eti wakaze huku wakijua Jogoo mbishi anachukua ndoo..

Tuna pambana kivyetu vyetu..

We are smarter now..

We are ready..

One game to go Kwa awamu ya kwanza vs Wolves tuwe tayari Kwa mzunguko wa pili ambao tayari tunaanza mapema na Foxes..

Klopp is a soccer genius.. From a a master in failure to King of Kings..
 
Haki ya nani Captain hizi comment zenu mkikutana na shabiki wa Manure anaweza kuwapiga ngumi! Mwaka huu wanalo!
 
Haki ya nani Captain hizi comment zenu mkikutana na shabiki wa Manure anaweza kuwapiga ngumi! Mwaka huu wanalo!
Hahahaha hao Kwa sasa ni 'small team' kwanza wapambane wapate hata nafasi ya kushiriki Europa msimu ujao..

Kwa hali waliyonayo hata kukatiza huku ni ngumu aisee na baada ya kupata taji baba lao bingwa Wa vilabu duniani tumezidi kuwachefua...

Fergie Class of 92 baadhi wanaanza kuingia wasiwasi na kupiga ramli eti Lecister kama anautaka ubingwa msimu lazima kesho kutwa achomoze na ubingwa, sasa kuna mmoja amewashauri Foxes wajipange kama alivyoo fanya Ole gemu dhidi ya Liverpool..eti BILA FABBY pale kati Maddison will cut us open and create chances Kwa Vardy lol.. Liverpool kuzidi kuimarika kunawaumiza sana Manchester United kuliko timu nyingine...

It's our turn now we have conquered EUROPE, we have conquered THE World and we are conquering EPL 2020 is ours to lose..

VViva Reds

YNWA
 
Salute to you man! Let them continue betting, we are the conqurer of the world from North to South, East to West!
 
Salute to you man! Let them continue betting, we are the conqurer of the world from North to South, East to West!
Hahaha indeed we are man..

2019 alone we have 3 major TROPHIES aiiiiiii what's more can we ask for 2019 ain't we just toooo lucky and damn happy, when Manchester United were planning to beat bottom of the EPL Watford which they shameless lost, us the real Reds were competing with the big guys and later we were celebrating being top of the world after mission accomplished at Doha

so you can see how the wheels has been turned bro..

YNWA
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…